Halafu wakiambiwa hawajui kuweka vipengele vya kwenye mikataba na wachezaji wao wanabisha tu, wajinga wanajibana wenyewe, ...."ooh lazima akitaka kuvunja mkataba akaongee na Yanga", haya sasa ndio huyoo anaenda kupanda ndege akaongee na utopolo.!!
Na yule Hersi huwa anawachezea utopolo fans kama midoli, ..ooh tuna negotiating power sijui nini!! Hajui hata Madrid na wengine wazito huwa wanawaacha wachezaji wao waondoke wakinunua mikataba yao, wao wapo kipropaganda tu.
Viongozi vijana wanaotumia akili za wazee wa klabu kufikiria na kutenda.!!
Onyo:
Hasira za ujinga wenu msituletee sisi, bado tunasherehekea wiki tuliyompiga mtu jana, makasiriko yenu pelekeni kule kwenye matope.