Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Aisee...kumbe ni kweli harudi tena ?...zile bidhaa tutasusia.

Tate Mkuu Shadeeya ukikaidi utapigwa2 demigod redio Kalpana Scars
Ufafanuzi tafadhali. Kama amepata kweli timu Ulaya, sioni tatizo. Ni jambo la heri kwake. Na hata kama anaenda Azam, bado sioni kama kuna tatizo.

Muhimu tu aondoke kwa utaratibu. Maana mpaka hapo alipo, Yanga nayo ina mchango wake. Huwezi kumlinganisha yule Fei Toto wa JKU enzi hizo, na huyu Fei Toto wa sasa.
 
Sheria kwanza, utaratibu ni sawa na hisani tu, hata hivyo alishawashukuru kwa kuwa pamoja nae kwenye ile taarifa yake aliyoitoa muda mfupi baada ya kuwapa zile pesa mkazikataa.
 
Wanajutraaaa kwakweli
Nawakumbusha tu zebaki mechi 11 ligi itamatike
Screenshot_20221231-180111.jpg
 
Aisee mnatia huruma sanaaa...mna stress sanaaa...sisi tunakumbukaa
Wenye stress huwa wanatafuta sehemu ya kupata faraja kama mfanyavyo ninyi... Yaani tumewabonda juzi tu ufunguzi wa ligi tukachukua kombe na Sasa tunawaongoza nyie na wenzenu wote waliopo hapa nchini[emoji1241] halafu tutie huruma????[emoji1][emoji1][emoji1]
Nakukumbusha tu msimamo upo [emoji116]
Screenshot_20221231-180111.jpg
 
Halafu wakiambiwa hawajui kuweka vipengele vya kwenye mikataba na wachezaji wao wanabisha tu, wajinga wanajibana wenyewe, ...."ooh lazima akitaka kuvunja mkataba akaongee na Yanga", haya sasa ndio huyoo anaenda kupanda ndege akaongee na utopolo.!!

Na yule Hersi huwa anawachezea utopolo fans kama midoli, ..ooh tuna negotiating power sijui nini!! hajui hata Madrid na wengine wazito huwa wanawaacha wachezaji wao waondoke wakinunua mikataba yao, wao wapo kipropaganda tu.

Viongozi vijana wanaotumia akili za wazee wa klabu kufikiria na kutenda.!!

Onyo:

Hasira za ujinga wenu msituletee sisi, bado tunasherehekea wiki tuliyompiga mtu jana, makasiriko yenu pelekeni kule kwenye matope.
Hv mlete Mzungu aliondokaje??
 
Back
Top Bottom