Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Mashabiki wengi wa Yanga na Simba huwa wanafanana, wote ni wajinga, na huwa wako busy mnoo kushabikia chochote, na kwa mtindo huo viongozi wao huwatumia vyovyote vile kama mataahira.

Hilo la Feisal ni mfano mmojawapo.
Thread closed
 
Hv mlete Mzungu aliondokaje??
Kumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..

Kama angekuwa mzuri, Simba Sc sio wajinga.
 
Kumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..

Kama angekuwa mzuri, Simba Sc sio wajinga.
Mkuu Huwa nakuona mtu mwenye akili nyingi, ila linapokuja suala la u simba na u yanga unakuwa ni pooza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkimsajili niiteni mbwa,nyie kazi kujifariji kwa kuwataja wachezaji wa Yanga,mkija kushuka toka usingizini Yanga bingwa[emoji23][emoji23]
Hivi mashabiki na viongozi wa Yanga hii ya kusema mkifanya hivi mniite fulana mbona mnaipenda...Mara Mbwa,mara Ashura cheupe mara Ashura UTI...au utasikia nitatembea uchi na kujisaidia hadi Kariakoo..,aisee...mara mcheze uchii ...yaani shida sana.
 
Nduguzangu ma Mbumbumbu fc nani amewaloga, Feisal hawezi kucheza nje ya nchi pasipo uhamisho wa kimataifa. Taarifa zake na klabu anayoenda na anayotoka lazima zilingane katika mfumo wa usajili wa kimataifa ndio usajili ukamilike.
Hakuna usajili wa kimataifa utakamilika bila Yanga kuhusika. Usajili unahitaji ITC international Transfer Certificate.
Bahati Mbaya Mbumbumbu siku zote wanaingizwa Chaka.
Feisal Kama ameondoka labda kwenda kucheza ma bonanza si Kwa mpira wa Ushindani Wala klabu inayo tambuliwa na FIFA.
 
Kumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..

Kama angekuwa mzuri, Simba Sc sio wajinga.
Kama hakuwa mzuri kwann mlimsajili? Kwahyo viongozi wenu hawana akili wanasajili wachezaji ambao siyo wazuri?? Ouattara anakaa nje tu, Okwa the same mbona wao hawajavunja mikataba wakaondoka?? Think twice mkuu
 
Una teseka... sheria zimebadilika...!

Kumbuka ya okwi na klabu ya tunisia...

Usikariri ndg utaumbuka... kama mpo ktk mgogoro kama huu basi kucheza ni kugusa tu
Acha umbumbumbu, Sheria gani iliyobadilika.
 
Watu wamepewa kimilioni miamoja na kumi na mbili chao wamesusa ,eti wamerudisha hahahaha

Watu,wameprint pay in slip wamekaa nayo kama ushahidi........
Watalia na kusaga meno
Inatakiwa Fei asirudishe hizo hela
 
Msichokijua tu ni kwamba bakhresa anamiliki mpaka mitumbwi, sasa kwenye mapinduzi cup zenji labda mpige mbizi..
 
Inatakiwa Fei asirudishe hizo hela
Ndugu mbumbumbu mbona mnashindwa kuelewa mambo madogo sana, miamala yote ya kifedha inayo ingia na kutolewa kwenye ma benk au mitandao ya simu, ikifanyika zinakuwepo kumbukumbu ata za miaka miwili nyuma.
Kama Feisal Ali rudishiwa fedha alizoweka kwenye Account ya Yanga kupitia account yake anayo pokelea mshahara kumbukumbu ya fedha hiyo haiondoki ata ipite miaka miwili kumbukumbu zote zinabaki katika server za Ma benk.
Hakuna fedha ita ingia au kutoka bila kufahimika aliye weka au kuchukua fedha hizo.
Mbumbumbu punguzeni ukilaza.
 
Back
Top Bottom