Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Aisee...kumbe ni kweli harudi tena ?...zile bidhaa tutasusia.


Tate Mkuu Shadeeya ukikaidi utapigwa2 demigod redio Kalpana Scars
Ufafanuzi tafadhali. Kama amepata kweli timu Ulaya, sioni tatizo. Ni jambo la heri kwake. Na hata kama anaenda Azam, bado sioni kama kuna tatizo.

Muhimu tu aondoke kwa utaratibu. Maana mpaka hapo alipo, Yanga nayo ina mchango wake. Huwezi kumlinganisha yule Fei Toto wa JKU enzi hizo, na huyu Fei Toto wa sasa.
 
Sheria kwanza, utaratibu ni sawa na hisani tu, hata hivyo alishawashukuru kwa kuwa pamoja nae kwenye ile taarifa yake aliyoitoa muda mfupi baada ya kuwapa zile pesa mkazikataa.
 
Aisee mnatia huruma sanaaa...mna stress sanaaa...sisi tunakumbukaa
Wenye stress huwa wanatafuta sehemu ya kupata faraja kama mfanyavyo ninyi... Yaani tumewabonda juzi tu ufunguzi wa ligi tukachukua kombe na Sasa tunawaongoza nyie na wenzenu wote waliopo hapa nchini[emoji1241] halafu tutie huruma????[emoji1][emoji1][emoji1]
Nakukumbusha tu msimamo upo [emoji116]
 
Hv mlete Mzungu aliondokaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…