Thread closedMashabiki wengi wa Yanga na Simba huwa wanafanana, wote ni wajinga, na huwa wako busy mnoo kushabikia chochote, na kwa mtindo huo viongozi wao huwatumia vyovyote vile kama mataahira.
Hilo la Feisal ni mfano mmojawapo.
Kumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..Hv mlete Mzungu aliondokaje??
Mkuu Huwa nakuona mtu mwenye akili nyingi, ila linapokuja suala la u simba na u yanga unakuwa ni pooza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..
Kama angekuwa mzuri, Simba Sc sio wajinga.
Ni tutusa plusMkuu Huwa nakuona mtu mwenye akili nyingi, ila linapokuja suala la u simba na u yanga unakuwa ni pooza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi mashabiki na viongozi wa Yanga hii ya kusema mkifanya hivi mniite fulana mbona mnaipenda...Mara Mbwa,mara Ashura cheupe mara Ashura UTI...au utasikia nitatembea uchi na kujisaidia hadi Kariakoo..,aisee...mara mcheze uchii ...yaani shida sana.Mkimsajili niiteni mbwa,nyie kazi kujifariji kwa kuwataja wachezaji wa Yanga,mkija kushuka toka usingizini Yanga bingwa[emoji23][emoji23]
Kama hakuwa mzuri kwann mlimsajili? Kwahyo viongozi wenu hawana akili wanasajili wachezaji ambao siyo wazuri?? Ouattara anakaa nje tu, Okwa the same mbona wao hawajavunja mikataba wakaondoka?? Think twice mkuuKumlinganisha Dejan na Fei ni sawa na kuikosea heshima akili yako, yule alikuwa hapangwi ndio maana akaona ajiondokee zake..
Kama angekuwa mzuri, Simba Sc sio wajinga.
Una teseka... sheria zimebadilika...!
Muulize swali rahs tu kama hakuwa mzuri kwann walimsajili?Mkuu Huwa nakuona mtu mwenye akili nyingi, ila linapokuja suala la u simba na u yanga unakuwa ni pooza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Muulize swali rahs tu kama hakuwa mzuri kwann walimsajili?
Mkuu Feisal kaenda ila wenzetu wanaongoza ligi
Acha umbumbumbu, Sheria gani iliyobadilika.Una teseka... sheria zimebadilika...!
Kumbuka ya okwi na klabu ya tunisia...
Usikariri ndg utaumbuka... kama mpo ktk mgogoro kama huu basi kucheza ni kugusa tu
Wanakombe lao huko Zanzibar haoMkuu Feisal kaenda ila wenzetu wanaongoza ligi
Inatakiwa Fei asirudishe hizo helaWatu wamepewa kimilioni miamoja na kumi na mbili chao wamesusa ,eti wamerudisha hahahaha
Watu,wameprint pay in slip wamekaa nayo kama ushahidi........
Watalia na kusaga meno
Hilo kombe ni lenu wala haina haja ya kwenda ZNZMsichokijua tu ni kwamba bakhresa anamiliki mpaka mitumbwi, sasa kwenye mapinduzi cup zenji labda mpige mbizi..
Ndugu mbumbumbu mbona mnashindwa kuelewa mambo madogo sana, miamala yote ya kifedha inayo ingia na kutolewa kwenye ma benk au mitandao ya simu, ikifanyika zinakuwepo kumbukumbu ata za miaka miwili nyuma.Inatakiwa Fei asirudishe hizo hela