Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Bakhresa naye kasusia kuwauzia bidhaa zake wazee wa yanga,sasa watakula mihogo mpaka matako yapauke
 
Mashabiki wengi wa Yanga na Simba huwa wanafanana, wote ni wajinga, na huwa wako busy mnoo kushabikia chochote, na kwa mtindo huo viongozi wao huwatumia vyovyote vile kama mataahira.

Hilo la Feisal ni mfano mmojawapo.
Wa Simba tuondoe kwenye ujinga wa Yanga na ututake radhi
 
Mkuu Huwa nakuona mtu mwenye akili nyingi, ila linapokuja suala la u simba na u yanga unakuwa ni pooza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mnashindwa ku analyze vitu vidogo sana, nyie ni mashabiki wepesi sana msio na kitu kichwani.

NB. Ukitaka kuwa na akili, anza kubadilisha hiyo Id name yako.
 
Kama hakuwa mzuri kwann mlimsajili? Kwahyo viongozi wenu hawana akili wanasajili wachezaji ambao siyo wazuri?? Ouattara anakaa nje tu, Okwa the same mbona wao hawajavunja mikataba wakaondoka?? Think twice mkuu
Usajili wakati mwingine ni kama kubahatisha, mchezaji anaweza kuwa mzuri atokako akija kwako anachemsha, mtazame Hazard wa Chelsea na huyu wa R. Madrid...

Nyie bado soft sana, hamjui kituu..
 
Hiyo ITC labda mumnyime Fei kwasababu ya siasa za Uyanga zilizopo TFF, lakini akikata rufaa CAS, mtaisoma namba.

Mnadhani wazungu wajinga kama wale waswahili wa pale Karume, walioikalia kimya ile kesi ya Manara na Hersi mpaka leo!.
 
Mmekubali hawezi cheza Azam,issue haikuwa kwenda ulaya au uarabuni.kwenda ughaibuni ndio walivyotaka Yanga na imefanyika.msijitie vidole kuwashwa gani huko?
 
Wachambuzi wetu na wandishi wetu wa mchongo weshindwa kujua Fei anaelekea wapi?.. what they can do ni kukopy na ku paste kilichoandikwa katika account zake no body have gone beyond that
 
Ujumbe muruwa wa kufungulia mwaka
 
Hivi mashabiki na viongozi wa Yanga hii ya kusema mkifanya hivi mniite fulana mbona mnaipenda...Mara Mbwa,mara Ashura cheupe mara Ashura UTI...au utasikia nitatembea uchi na kujisaidia hadi Kariakoo..,aisee...mara mcheze uchii ...yaani shida sana.
Kabla ya kubamizwa 3-1 hapo kwa Mkapa hatoki mtu yule mhamasishaji wenu MWIJAKU alipoapa kuwa viongozi wa Nganda watavua nguo na kutembea uchi ikiwa watafungwa na wale Makirikiti alikuwa anaapa kwa niaba ya YANGA?
 
Yanga walipewa tu huyu mchezaji kama rambirambi hawajamnunua hata kwa thumni ,kumbuka hilo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…