Feisal penalty/fidia ya kutokutumikia mkataba inamsubiria

Hivi kwanini yanga wanataka kukaaa tu Kuna Nini wanataka kufanya kwani mkataba si uko wazi termination zake Sasa mkae kufanya Nini si mtua afikie zile obligation basi..sasa ni tukae wee tukae wee yaan huyo dogo asikae na yanga wote wakutanie tff biashara ishie huko

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Umeweza kujitofautisha na mwenzako ambaye analeta challenge kwa kupoint vifungu vya sheria?

Maana yake wewe unayebisha bila references unakuwa huna tofauti na waumini wa Pastor Mackenzie
Hivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
 
Hivi kwanini yanga wanataka kukaaa tu Kuna Nini wanataka kufanya kwani mkataba si uko wazi termination zake Sasa mkae kufanya Nini si mtua afikie zile obligation basi..sasa ni tukae wee tukae wee yaan huyo dogo asikae na yanga wote wakutanie tff biashara ishie huko

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Yanga wanataka wampe terms and conditions ikiwemo release offer TFF hawahusiki kwenye hivyo vitu
 
Sasa wewe ndio tunaweza kufanya mjadala maana wengine wote wameshindwa kuja na hoja kama hizi.

Najibu swali lako sasa.

Ni kweli hiyo article 16 imezungumzia unilaterally termination, lakini vipi tukienda article 17 inayofuata ambayo haihitaji cause?

Mkataba huwa una room nyingi hivyo kila mtu huamua kuchagua kutumia kipengele gani ambacho yeye kwake ataona kinamfaa.

Tukiamgalia article 17 inatoa ruhusa kuvunja mkataba without cause na mifano ya wanasoka waliowahi kuvunja mikataba kina Hakan Calhanoglu ipo.
We nimeamin una matatizo ya akili alafu unapenda ligi za kitoto
Feisal mpaka sasa hivi TFF inamtambua kama mchezaj wa Yanga
Kamsaidie na hizo point zako uone kama atashinda
 
Hivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
Ni mjinga haswa
 
Ndo nimemwambia kama anauhakika feisal ame-terminate mkataba na yanga aende timu nyingine
 
Screenshot_2023_0507_132347.png
Screenshot_2023_0507_132323.png

Akanji alinunuliwa €19 kaja kaperform thamani imepanda sasa waambie wakuuzie kwa pesa chini ya €30m uone kama kuna mtu atakuelewa..

Kwa akili ya utopolo hivi kweli Feisal Thamani yake ni milioni100?

Waheed
 
Sijauhuisha mkataba wa Morrison na mkataba wa Feisali

Nimejaribu kumuelekeza circumstances ya Feisali kulipa hela CAS na kikwazo cha gharama ambacho kinaweza kumkwamisha kutokana na Yanga kutokuwa interested na hii kesi
Azitumie zile alizorudishiwa na yanga mil 110 na chenji inabaki baki,hawahi CAS huko huku tena washamaliza.

Mchezaji kalipa mil 110,kaenda kutrain na trainer anaye watrain wachezaji wa EPL na La Liga Dubai zaidi ya wiki. Kasimamisha wansheria wakubwa watatu,wale walio msimamia Morrison, kaja Shangazi wa Taifa, Kaja yule mdada anayedai kamsimamia mpaka Drogba.

Kwa kuangalia tu hawezi kukosa mil 110 hela ya mboga hiyo kwake.

Hawahi CAS,tupungeze hizi kelele za wanasheria wa JF wanao endekeza ushabiki wakati vipengele hawavielewi, waende CAS kwa wenye mpira wao.
 
Yule mchezaji wa Brighton Moises Ceicedo aliyekuwa akitakiwa na Arsenal.

Arsenal walipeleka ofa mbili na kukataliwa na Brighton uku mchezaji akiutangazia uma anataka kuondoka Brighton na kujiunga na Arsenal na mpaka Sasa anakipiga pale Brighton.

Kwanini Moises Ceicedo asitumie mbinu ya Feitoto Kuvunja mkataba kwakutumia icho kipengele Cha FIFA Cha kua na Sababu au kutokua na Sababu za Kuvunja mkataba Ili aweze kwenda Arsenal ki ulaini?
Kwamba Caicedo naye angeiambia FA ya England, sina Raha pale Brighton nashindia Sandwich?
 
Kanuni na masharti zikikiukwa mkataba unakuwa/kuisha.
Kama Yanga wanadai Feisal ni mchezaji wao halali je wanamlipa mshahara na stahili zingine toka sakata lianze?
 
Wanamlipa na hio hela haiendi bure watakuja kuidai kama penalty kwa feisal kwa kutokutumikia mkataba
 
Hivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
Umeona sasa tatizo lako?

We unaongelea POV wakati mimi naongelea sheria za FIFA

Ukija na hoja za kupangua article 17 ya sheria za FIFA kuhusu termination of contract nitakuona una akili na kuanzia hapo nitaanza kuamini kuwa Manara alipotosha
 
Azitumie zile alizorudishiwa na yanga mil 110 na chenji inabaki baki,hawahi CAS huko huku tena washamaliza.

Mchezaji kalipa mil 110,kaenda kutrain na trainer anaye watrain wachezaji wa EPL na La Liga Dubai zaidi ya wiki. Kasimamisha wansheria wakubwa watatu,wale walio msimamia Morrison, kaja Shangazi wa Taifa, Kaja yule mdada anayedai kamsimamia mpaka Drogba.

Kwa kuangalia tu hawezi kukosa mil 110 hela ya mboga hiyo kwake.

Hawahi CAS,tupungeze hizi kelele za wanasheria wa JF wanao endekeza ushabiki wakati vipengele hawavielewi, waende CAS kwa wenye mpira wao.
Tofautisha pesa ya kufungulia kesi na pesa ya uendeshaji kesi

Gharama ya uendeshaji kesi CAS ni kubwa
 
Kwani pesa kuendesha kasi si mili 56 ,inabaki mil 54 kesi inaendeshwa online so gharama bundle na mwanasheria .

Kwani issues ya Morrison na Yanga si ilisikilizwa mara mbili na CAS. Sioni gharama kabisa na ndio maana kwa yy bora aende CAS.
 
Haya Simba uwanja wenu baada ya kupigwa na Azam,endeleni kuchambua mkataba wa Fei maana ndio kazi mliojipa msimu wakati hata vipengele vyenyewe hamu vijui.
 
Back
Top Bottom