Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Unafikiri hapo mwanzo walipoambiwa hawakufuata taratibu unajua ni zipi ?Mkataba huvunjwa na pande mbili za mkataba Tff sio miongoni mwao.pili hill shauri lilikwisha sikilizwa na uamuzi ukatolewa.high of Fei na wanasheria wake wa kuokoteza walitakiwa kurudi Yanga kupata muafaka au kwenda CA's.Yanga imetumia busara ambayo fei na mawakili wake hawana Kwa mujibu wa kanuni za Fifa hairuhusiwi kuvunja mkataba huki ligi ikiwa inaendelea.mwisho kamati ya Tff Kwa kuwa ilikwisha lisikiliza shauri hili pamoja na rufaa haikuwa na jurisdiction tena hivyo upande wa Fai walitakiwa kwenda CA's