Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Nimekuja kugundua linapokujaga swala la Simba na Yanga ...hata wenye akili wanakuwa wajinga.....
Kwenye hili Profesa wa PhD hana tofauti na ngumbaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja kugundua linapokujaga swala la Simba na Yanga ...hata wenye akili wanakuwa wajinga.....
Azam hawawezi kuingia kwenye huo Mtego[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kama yanga bado wanamlipa mshahara hapo pagumuu sema nae kijana aache uhuniiii atapoteza muda bure ila mwisho wa siku atalipaa hizo helaa.. May b asubiri mpaka mkataba uishee 2024 lakini sidhani kama Yanga itaendelea kumlipa mshahara bila kumpeleka mahakamani kumshtaki kabla ya mkataba kufika mwisho.Kama mwambie feisal ameshavunja mkataba tayari atafute timu ameshaachana na yanga tayari
Asipoteze mda wake kwenda TFF hana mkataba na Yanga
We ulisema swala lako la kutokua na akili ni kipaji.Kuna mda nasoma comments zako nacheka tu, ni kwamba huna akili au unajifyatua? Kwamba jaribio la kuvunja mkataba ni sawa na tayari usha vunja mkataba? sasa anatafta nini hapo TFF wakati asha vunja mkataba kwa maelezo yako? ulisoma wapi wewe mbumbumbu?
Hisia zimekuwa nyingiWewe nae ni mpuuzi mmoja tu... Hiyo hoja akiyoioeleka imekiuwka ndani ya mkataba wake, yaani atangeneza hoja za kipuuzi afu taasisi kama Tff waingie chaka!!. Watu mmekuwa wajinga na matahira kupitiliza kisa chuki za kishabiki mnataka tff afanye upuuzi wenu?. Puuzi waheed kabisa.....
Ni kweli kukosa akili ni kipaji na unachoWe ulisema swala lako la kutokua na akili ni kipaji.
Tangu siku hiyo nimekuwa sipati shida na wewe
Watanzania wengi wanapenda sana shortcut kama huyo jamaa uliye-mquoteNi kweli kukosa akili ni kipaji na unacho
soma kitu uelewe kukurupuka kama nyumbu mwishowe unaishia mdomoni mwa mamba...hakuna mtu anang'ang'aniwa wakati mambo pale jangwani yanaenda tena kwa kasi ya rocket,Yanga wanataka tu kuwafundisha wajinga kama akina feisal kwamba mambo yanaenda 0,1,2,3 na sio 0 mpaka 3Mbona mnalazimisha kubaki na mtu ambaye amewakataa?
Bodi ya TFF nayo ni kwasababu imejaa mashabiki ndio sababu tumekuwa tukishangazwa na maamuzi yao ambayo mostly ni unfair
Dogo kapeleka hoja ya kuvunja Mkataba baina yake na Yanga, maamuzi yanayokuja eti Feisali bado ni mchezaji wa Yanga. How could this be relevant?
Huyo jamaa ni wa kuacha na ujinga wake anabishana thread nzima ujuaji mwingi kuna mda hua navuta picha kwenye maisha yake huko mtaani anaishi vipisoma kitu uelewe kukurupuka kama nyumbu mwishowe unaishia mdomoni mwa mamba...hakuna mtu anang'ang'aniwa wakati mambo pale jangwani yanaenda tena kwa kasi ya rocket,Yanga wanataka tu kuwafundisha wajinga kama akina feisal kwamba mambo yanaenda 0,1,2,3 na sio 0 mpaka 3
We lazima unione mbishi, kwasababu huna uelewa wa vitu navyoviandika.Huyo jamaa ni wa kuacha na ujinga wake anabishana thread nzima ujuaji mwingi kuna mda hua navuta picha kwenye maisha yake huko mtaani anaishi vipi
Umesema nisome nielewe.soma kitu uelewe kukurupuka kama nyumbu mwishowe unaishia mdomoni mwa mamba...hakuna mtu anang'ang'aniwa wakati mambo pale jangwani yanaenda tena kwa kasi ya rocket,Yanga wanataka tu kuwafundisha wajinga kama akina feisal kwamba mambo yanaenda 0,1,2,3 na sio 0 mpaka 3
CAS,215...bado shangazi na shoga yake Fei wanang'ang'ana na TFF tu as if hawajui kama kuna iyo copy and paste uliyoweka wewe hapo ubaoni mi ningekuelewa kama hivi tunavyoendelea na mjadala dogo angekuwa kasaini na anaendelea kukipiga somewhere else kama kweli hicho kipengele ulichoweka hapo kina msaada kwakeUmesema nisome nielewe.
Haya nimesoma, naomba nawe usome hapa halafu uniambie kilichoandikwa hapa kina demand nini
iii) Player has no obligation or automatic right to remain employed by the club
When considering the consequences of terminating a contract, a player cannot be obliged to remain employed by the club with which the contractual relationship has been terminated under any circumstances (whether the termination was with just cause or without just cause). Nor can the club be obliged to (re)employ the player. If one party decides unilaterally to terminate a contract prematurely, the contractual relationship between the parties ends. In the event of a dispute, the party in breach will be liable to pay compensation and sporting sanctions may be imposed on it, but no request for reinstatement of employment can be made, or considered. This principle has been confirmed by CAS,215
Punguza upuuzi kwenye vitu vyenye hoja zenye mantiki!!!. Mmekuwa wapuuzi kupitiliza kisa ushabiki wahovyooo asee.....Hisia zimekuwa nyingi
We umetoa hoja gani mpaka muda huu zaidi ya matusi?Punguza upuuzi kwenye vitu vyenye hoja zenye mantiki!!!. Mmekuwa wapuuzi kupitiliza kisa ushabiki wahovyooo asee.....
Nyie mnasema huyo mpuuzi mwenzenu anayo haki ndio mje na hoja zenye mantiki kuliko wanazotoa yanga... Kutwa jf mnakuja na vihoja vya kijingaaaaaa miezi 5 sasa hamna mnachomsaidia zaidi ya midomo isiyo na msaada kwake. Pesa zenyewe hamna, onyesheni hisia zenu kwa vitendo mchangieni pesa 200+M aende CAS.We umetoa hoja gani mpaka muda huu zaidi ya matusi?
Sasa kama hapa unakuwa umeandika nini?Nyie mnasema huyo mpuuzi mwenzenu anayo haki ndio mje na hoja zenye mantiki kuliko wanazotoa yanga... Kutwa jf mnakuja na vihoja vya kijingaaaaaa miezi 5 sasa hamna mnachomsaidia zaidi ya midomo isiyo na msaada kwake. Pesa zenyewe hamna, onyesheni hisia zenu kwa vitendo mchangieni pesa 200+M aende CAS.
Mkataba huvunjwa na pande mbili za mkataba Tff sio miongoni mwao.pili hill shauri lilikwisha sikilizwa na uamuzi ukatolewa.high of Fei na wanasheria wake wa kuokoteza walitakiwa kurudi Yanga kupata muafaka au kwenda CA's.Yanga imetumia busara ambayo fei na mawakili wake hawana Kwa mujibu wa kanuni za Fifa hairuhusiwi kuvunja mkataba huki ligi ikiwa inaendelea.mwisho kamati ya Tff Kwa kuwa ilikwisha lisikiliza shauri hili pamoja na rufaa haikuwa na jurisdiction tena hivyo upande wa Fai walitakiwa kwenda CA'sNdio 100% jana Fei na mawakili wake walikuwa wakitaka idhini ya kuvunja mkataba kwasababu, kwa TZ ili mkataba uvunjwe lazima chombo husika kihusishwe, sasa majibu waliyopewa leo haya lingani na lile ombi lao