Hivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?Umeweza kujitofautisha na mwenzako ambaye analeta challenge kwa kupoint vifungu vya sheria?
Maana yake wewe unayebisha bila references unakuwa huna tofauti na waumini wa Pastor Mackenzie
Yanga wanataka wampe terms and conditions ikiwemo release offer TFF hawahusiki kwenye hivyo vituHivi kwanini yanga wanataka kukaaa tu Kuna Nini wanataka kufanya kwani mkataba si uko wazi termination zake Sasa mkae kufanya Nini si mtua afikie zile obligation basi..sasa ni tukae wee tukae wee yaan huyo dogo asikae na yanga wote wakutanie tff biashara ishie huko
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
We nimeamin una matatizo ya akili alafu unapenda ligi za kitotoSasa wewe ndio tunaweza kufanya mjadala maana wengine wote wameshindwa kuja na hoja kama hizi.
Najibu swali lako sasa.
Ni kweli hiyo article 16 imezungumzia unilaterally termination, lakini vipi tukienda article 17 inayofuata ambayo haihitaji cause?
Mkataba huwa una room nyingi hivyo kila mtu huamua kuchagua kutumia kipengele gani ambacho yeye kwake ataona kinamfaa.
Tukiamgalia article 17 inatoa ruhusa kuvunja mkataba without cause na mifano ya wanasoka waliowahi kuvunja mikataba kina Hakan Calhanoglu ipo.
Ni mjinga haswaHivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
Ndo nimemwambia kama anauhakika feisal ame-terminate mkataba na yanga aende timu nyingineHivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
Azitumie zile alizorudishiwa na yanga mil 110 na chenji inabaki baki,hawahi CAS huko huku tena washamaliza.Sijauhuisha mkataba wa Morrison na mkataba wa Feisali
Nimejaribu kumuelekeza circumstances ya Feisali kulipa hela CAS na kikwazo cha gharama ambacho kinaweza kumkwamisha kutokana na Yanga kutokuwa interested na hii kesi
Kwamba Caicedo naye angeiambia FA ya England, sina Raha pale Brighton nashindia Sandwich?Yule mchezaji wa Brighton Moises Ceicedo aliyekuwa akitakiwa na Arsenal.
Arsenal walipeleka ofa mbili na kukataliwa na Brighton uku mchezaji akiutangazia uma anataka kuondoka Brighton na kujiunga na Arsenal na mpaka Sasa anakipiga pale Brighton.
Kwanini Moises Ceicedo asitumie mbinu ya Feitoto Kuvunja mkataba kwakutumia icho kipengele Cha FIFA Cha kua na Sababu au kutokua na Sababu za Kuvunja mkataba Ili aweze kwenda Arsenal ki ulaini?
Umechelewa kujua.Nimekuja kugundua linapokujaga swala la Simba na Yanga ...hata wenye akili wanakuwa wajinga.....
Wanamlipa na hio hela haiendi bure watakuja kuidai kama penalty kwa feisal kwa kutokutumikia mkatabaKanuni na masharti zikikiukwa mkataba unakuwa/kuisha.
Kama Yanga wanadai Feisal ni mchezaji wao halali je wanamlipa mshahara na stahili zingine toka sakata lianze?
Umeona sasa tatizo lako?Hivyo vifungu vyako vya nyanya nenda navyo CAS umejaa ujuaji wa kingese uliona wapi ufunge mkataba na mwingine ukavunje na mwingine bila kukaa na uliefunga nae mkataba! ulivyo popoma unakomaa vitu huna taaluma navyo labda nikuulize post yake ya 24 Dec 2022 Instagram alivyo aga alikua kapata wapi confirmation kua mkataba upo terminated na sasa anawaomba TFF wavunje mkataba upi?
Tofautisha pesa ya kufungulia kesi na pesa ya uendeshaji kesiAzitumie zile alizorudishiwa na yanga mil 110 na chenji inabaki baki,hawahi CAS huko huku tena washamaliza.
Mchezaji kalipa mil 110,kaenda kutrain na trainer anaye watrain wachezaji wa EPL na La Liga Dubai zaidi ya wiki. Kasimamisha wansheria wakubwa watatu,wale walio msimamia Morrison, kaja Shangazi wa Taifa, Kaja yule mdada anayedai kamsimamia mpaka Drogba.
Kwa kuangalia tu hawezi kukosa mil 110 hela ya mboga hiyo kwake.
Hawahi CAS,tupungeze hizi kelele za wanasheria wa JF wanao endekeza ushabiki wakati vipengele hawavielewi, waende CAS kwa wenye mpira wao.
Amechelewa sijui alikuwa wapiUmechelewa kujua.
Wanamlipa! Tupatie risitiWanamlipa na hio hela haiendi bure watakuja kuidai kama penalty kwa feisal kwa kutokutumikia mkataba
Kwani pesa kuendesha kasi si mili 56 ,inabaki mil 54 kesi inaendeshwa online so gharama bundle na mwanasheria .Tofautisha pesa ya kufungulia kesi na pesa ya uendeshaji kesi
Gharama ya uendeshaji kesi CAS ni kubwa
Mwanume mzima unataka kuona mshahara wa mwanaume mwenzakoWanamlipa! Tupatie risiti