crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Sijasema abaki Yanga, angepata timu ya nje ingesaidia career yake, sasa unatoka Yanga unaenda Azam?
Wajinga ndiyo waliwaokwahiyo ile hela aliyochangisha ya kwenda CAS atarudisha?
Siamini magazeti kama vyanzo sahihi vya habari😀 mangungu alishakuingiza chaka fei anakuja kwenu nini 🙄
Fei ashukiru Mama ni WA kwao vinginevyoMWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam.
Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwaomba Yanga kumaliza mgogoro na kiungo huyo Mzanzibari, ili mambo mengine yaendelee.
Fei aliingia kwenye mgogoro huo, baada ya kuvunja mkataba bila kuzingatia kanuni, hadi kesi kupelekwa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) bado Yanga ikawa kwenye upande wa haki.
Kwa habari zaidi endelea kufuatilia kwenye mitandao yetu na Gazeti la Mwanaspoti kesho Alhamisi Juni 8.
Chanzo: Mwanaspoti
Nje ya nchi ni Kwa wachache na ndio maana mayele hato ondoka yanga..........Sijasema abaki Yanga, angepata timu ya nje ingesaidia career yake, sasa unatoka Yanga unaenda Azam?
Kimpira pia. Hakuna mchezaji asiyetamani kuchezea Simba. Tukiweka ushabiki pembeni kihadhi tu Simba iko juu zaidi ya Yanga, huo ndiyo UKWERII.Kimaslahi sawa, kimpira ?
Unafiki wake ni niniMamako nani mnafki wewe
haikuhusu ,tafadharikwahiyo ile hela aliyochangisha ya kwenda CAS atarudisha?
kama ulikua hujui hii balaa yote wameileta azamFei akienda Azam ntamshangaa sana, yaani atakua amekubali kuua career yake kwasababu ya maslahi ya muda mfupi let say miaka kama mitatu ivi
Unatoka Yanga unaenda Azam? Bora angetafuta club ya nje...
[emoji38][emoji38][emoji38]Mamako nani mnafki wewe