Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote.

Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea.

Nitakumbuka mengi mazuri valiyotukea pamoja na nitasahau yote mabaya kwa haraka sana.

Kila nikiwakumbuka mashabiki wa WANANCHI moo unakua mzito kuwaaga hivyo hivyo kwa wachezaji wenzangu na viongozi pia kwa upendo mlionionyesha tukiwa pamoja kwenye shida na raha.

Lakini lisilo budi hutendwa au hunenwa kwahiyo leo nasema KWAHERINI WANANCHI. lla maisha ndivyo yalivyo mambo huja na kupita na kuna wakati yanajirudia, mpaka wakati mwingine tena, Kwaheri ya kuonana.

8F1AF60B-C599-44F1-B857-21BCDBC6C811.jpeg
 
Anabahati mbaya Kwa kudhani mkataba unavunjwa kama Kuni.
 
YANGA LINAPOKUJA SUALA LA KUACHIKA WANAKUWA WAGUMU SANA,

MORRISON ALIWAMYOOSHA
Simba na Tff walishirikiana ku mpeleka Morrison Simba ila gharama na fedha iliyotumika kufanikisha swala hilo limewatia adabu viongozi wa Simba na Tff. Barbara hato sahau pesa iliyotumika, kufanikisha Dili ilo kichaaa.[emoji3][emoji3]
 
Ipo siku utaelewa Kwa nini huwa nasema nakuheshimu.
Kwamba kauli yako inathibitisha kuwa Mayele ni wa pale pale Yanga na hawezekaniki kuuzika?

Si ndio maana yako ya kumheshimu mtu?
 
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote.

Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea.

Nitakumbuka mengi mazuri valiyotukea pamoja na nitasahau yote mabaya kwa haraka sana.

Kila nikiwakumbuka mashabiki wa WANANCHI moo unakua mzito kuwaaga hivyo hivyo kwa wachezaji wenzangu na viongozi pia kwa upendo mlionionyesha tukiwa pamoja kwenye shida na raha.

Lakini lisilo budi hutendwa au hunenwa kwahiyo leo nasema KWAHERINI WANANCHI. lla maisha ndivyo yalivyo mambo huja na kupita na kuna wakati yanajirudia, mpaka wakati mwingine tena, Kwaheri ya kuonana.

View attachment 2456724
Hii filamu inaitwa Mafia Football, Director wa hii movie yupo Simba Sc, Staring yupo Azam Fc, Actors jaza mwenyewe watakuwa timu gani..
 
Yaani aende Azam halafu wanaofurahi ni mikia???kwamba ikikutana Azam na Mikia Fei hatowafunga?..
Mimba changa huambatana na mengi,yaani wengine huwa wanasikia Raha hata kunusa harufu ya viatu vya waume zao tu.

Tunamsubiri Manzoki,si mna hela ya kumtoa China!

Mikia bana

By Aloyce Nyanda Mtozi.
 
Back
Top Bottom