T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hapo ndio sielewi inakuaje. Mchezaji kama alikuwa na release clause kwenye mkataba kama inavyodaiwa na akaitimiza habari za wao kumtaka akae mezani ni za nini. Mkataba ulisema alipe signing fee na mishahara ya miezi fulani, akafanya hivyo sasa yanini kuzungushana.Acha majinga upande wwte una uwezo wa kuvunja mkataba ilimradi ulipe gharama za kuvunja mkataba.
Wachambuzi maandazi hao, ndiyo inawezekana kukiwa na sababu ya haki ya kimchezo kifupi ikiwa mchezaji ataona hapati nafasi kwenye kikosi anaweza kutumia hicho kipengeleMutual agreement sio necessary na hii tena ilielezwa ijumaa sports HQ na wakili
Kamba tu hiyo. Tanzania haina mwanasheria wa kusimamia kesi hata Kenya tu hapo jirani sembuse UKJasmin amewahi kusaidia Wachezaji mbalimbali kwenye migogoro ya kimkataba na klabu zao akiwemo Simon Msuva, Wilfred Bony aliyewahi kucheza Man City na Swansea City na Emmanuel Eboue aliyewahi kucheza Arsenal.
Hiyo paragraph juu ni chai, labda Wilfred Bony wa Iringa
Uto km uto [emoji1][emoji1][emoji1]Uto nao ni watata sana
Yule wakili wake msanii wa Chadema anaitwa Shangazi ameshindwa au? 😁😁Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum, Machi 6, 2023 amefika kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha ombi kulitaka Shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na Yanga ikiwa ni siku chache zimepita tangu shauri lake litupiliwe mbali.
Feisal amefika Makao Makuu ya TFF akiwa ameongozana na Mwakilishi wake, Jasmin Razack wakiwa na barua mpya ya kuomba kuvunja mkataba wake na Yanga.
“Waandishi msikurupuke kwenye kusema Feisal kaonewa ama ameshindwa maneno mengi tuwe na uzalendo, ninaomba tuvute subra kwa mara ya kwanza leo, Feisal kaleta ombi lake naimani kama litashughulikiwa nina imani na TFF, chombo pekee kinachoweza kuvunja mkataba wa mchezaji ni TFF,” amesema Jasmin Razack.
Jasmin amewahi kusaidia Wachezaji mbalimbali kwenye migogoro ya kimkataba na klabu zao akiwemo Simon Msuva, Wilfred Bony aliyewahi kucheza Man City na Swansea City na Emmanuel Eboue aliyewahi kucheza Arsenal.
Elimu!Elimu! Elimu! Ndo shida ya Fei na mawakili wake.Wachambuzi maandazi hao, ndiyo inawezekana kukiwa na sababu ya haki ya kimchezo kifupi ikiwa mchezaji ataona hapati nafasi kwenye kikosi anaweza kutumia hicho kipengele
"Termination of a contract without just cause is to be vehemently discouraged”.
Soma hii
3.1. Generally about just cause and football players’ contracts
An essential principle in RSTP is that contracts between football players and football clubs should be respected. The principle that the contract must be respected is emphasised in the commentary edition of the FIFA's transfer regulations, which states that “unilateral termination of a contract without just cause is to be vehemently discouraged”.
A contract between a football player and a football club can only come to an end in the following situations:
a) The contract expires.
b) The contract is terminated by mutual agreement.
c) The player can terminate the contract with sporting just cause.
d) The club or the player can unilaterally terminate the contract with just cause.
In practice, the two first options seldom lead to complications, and termination of a contract with sporting just cause is a relatively limited possibility for an established football player to terminate the contract for sporting reasons. The provision is intended for circumstances in which a former central football player no longer plays matches for the first team.
Sasa unabishana hapa kumbe hata msingi wa kesi hujuiCAS kufanya nini?
Jambo linaishia hapa hapa.
Kwani aliyeshtaki mwanzo ni nani?
Fei? Sikumbuki kama ni hivyo.
Taasisi lazima ilinde ligancy yake, kwa mujibu wa kanuni na sheria za FIFA "Utopolo wamegoma kuachika,wanapambana sana
Utaratibu ni timu inayomtaka kuleta offer mezani nothing elseAambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke. Kila siku utaratibu, utaratibu mchezaji hataki kuwepo kikosini. Yanga imwambie wazi, ukitaka kuondoka fanya A,B,C vile ulivyofanya sio sawa kwa sababu A,B,C.
Walivujiwa na TFF?mbona Makambo na Bigirimana walivunjiwa kirahisi tu katikati ya msimu?
Kwamba halipwi? AuJasmin amewahi kusaidia Wachezaji mbalimbali kwenye migogoro ya kimkataba na klabu zao
Sasa kama hamumtaki ndo Mumwache kwani nyie ndo wakwanza ku breach contract(sijui nimepatia hapo)Jamani eeeh hata sisi hatutaki arudi yena mtuelewe. Kinacho amgaliwa hapa ni mkataba wake na taratibu za uvunjaji wa mkataba.
Timu ni kubwa kuliko mchezaji, Yanga haiwezi kumng'ang'ania mchezaji ambaye hana mapenzi na moyo wa kuitumikia nembo.
We ushangai kua mawakili wa Feisal kila siku wanakuja na jambo jipya?Pesa ambayo nyinyi mliirudisha?
Labda ndio ilikuwa bajeti yake you never know
Ndo maana na yy hataki anajua mnataka kisasi...Sisi hatutaki yy acheze, atasugua benchi mpaka matako yalegee
Unadhani Yanga wanataka arudi? Yanga wanataka tu kujenga nidhamu!Muda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
Unatakiwa kusoma kwa uelewa sawa!!Sasa unabishana hapa kumbe hata msingi wa kesi hujui
Yaani hata hujui ni Nani alipeleka shauri TFF ila umekazana kubisha
Ajabu sana
8 × 15 = 40, ligi kuu ipi inacheza mechi zaidi ya 40 duniani?Hakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Ukitoka hapo kaisome na article 4.1 kuhusu calculation of compassionWachambuzi maandazi hao, ndiyo inawezekana kukiwa na sababu ya haki ya kimchezo kifupi ikiwa mchezaji ataona hapati nafasi kwenye kikosi anaweza kutumia hicho kipengele
"Termination of a contract without just cause is to be vehemently discouraged”.
Soma hii
3.1. Generally about just cause and football players’ contracts
An essential principle in RSTP is that contracts between football players and football clubs should be respected. The principle that the contract must be respected is emphasised in the commentary edition of the FIFA's transfer regulations, which states that “unilateral termination of a contract without just cause is to be vehemently discouraged”.
A contract between a football player and a football club can only come to an end in the following situations:
a) The contract expires.
b) The contract is terminated by mutual agreement.
c) The player can terminate the contract with sporting just cause.
d) The club or the player can unilaterally terminate the contract with just cause.
In practice, the two first options seldom lead to complications, and termination of a contract with sporting just cause is a relatively limited possibility for an established football player to terminate the contract for sporting reasons. The provision is intended for circumstances in which a former central football player no longer plays matches for the first team.
Yaniii acha tuuuWachezaji wetu wa kitanzania hawasongi mbele sana kwasababu ya uswahili na watu walio wazunguka.. wanajiua vipaji na uaminifu.. sio pro kabisa