T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hapo ndio sielewi inakuaje. Mchezaji kama alikuwa na release clause kwenye mkataba kama inavyodaiwa na akaitimiza habari za wao kumtaka akae mezani ni za nini. Mkataba ulisema alipe signing fee na mishahara ya miezi fulani, akafanya hivyo sasa yanini kuzungushana.Acha majinga upande wwte una uwezo wa kuvunja mkataba ilimradi ulipe gharama za kuvunja mkataba.
Si mkataba wa kazi una termination? Sidhani kama Faisal na watu wake ni wajinga wa sheria na mkataba. Ni Yanga hawahawa walichana sehemu ya mkataba wa Bernard Morisson.
Nahofia baadae Yanga kudaiwa fidia ya kumpotezea muda, fedha na kumpa usumbufu.