Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Ni nani anampa Fei kibri?
 
Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Msuva alikua tatizo la malipo ya mshahara na signing fee na kanuni zipo wazi.

Feisal ata aende CAS atarudishwa Kuja kumalizana na Yanga kwanza ndio apewe nafasi kwenda klabu nyingine.

CAS haijaundwa Ili kuvikamdamiza vilabu, na bahati Mbaya CAS uwa wanaomba ufafanuzi wa mgogoro uliopo na FA ya Nchi husika. Apo ndipo Feisal anakwenda ku unguzwa.
 
View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Dejan na Mbumbumbu fc walimalizana ki staarabu kwakua wote walikiuka makubaliano ya ki mkataba na walijitambua. Sasa ukishauriwa na vilaza mwishowe ni ku umia tu.
 
Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa
Na hapo ndi anepobug bwana kijana feudogo
 
Dejan na Mbumbumbu fc walimalizana ki staarabu kwakua wote walikiuka makubaliano ya ki mkataba na walijitambua. Sasa ukishauriwa na vilaza mwishowe ni ku umia tu.
Kwa hiyo nyie kumlisha mtoto wa watu ugali na sukari hamkuwa mnakiuka mkataba kweli? 🤣😂🤣😂
 
Naona fei hataki kukubal kaona achukue wakili mwingine ili aweze kula pesa zake mawakili na wanasheria hawajawah kusema suala linashindikana au ww hutoboi lazma wachukue pesa baadae ndo utaambiwa suala
Limeshindikana
...Pole SanawanaYanga ! Atashinda TU!...
[emoji107]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…