Ngoja mashuti yake ayaelekeze kwa Diarra ndiyo labla watamuelewa.Iliyobaki ni kumlazimisha Feisal acheze. Yaani anapangwa kwenye kikosi dhidi ya TP Mazembe, na analazimishwa apige shuti goli liingie. Atake atapiga shuti, asitake atapiga shuti
Ukitaka ujue nguvu ya ugali na sukari muulize MANULA.Si unaona nimeuliza tu maana mpaka mtu analalamika ina maana hakuwa anategemea hilo.
Feisal ana watu! 🤣😂🤣😂amekopa akiwa na uhakika zitarudi na atalipa. Kukopa akiwa anachezea Yanga hakuwa na uhakika wa kulipa, ndo akaamua tu ale ugali na sukari
Aunt kesi nzito[emoji23][emoji23]Kwani Shangazi nae kesi imemshinda?
Na hata TFF na Fifa kama ataenda wataangalia hilo. Wakiruhusu ujinga huu ndio itakuwa mchezo.Yanga wanalinda mpira usiharibiwe. Fikiria hao wanaomlaghai fei watumie njia hizo hizo kwa mayele au job kutakuwa na soka kweli?
Kwani si anaamini alishavunja? Akaaga kabisaFeisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
View attachment 2539157
Kajiunge na team ya FEI mumsaidie kuvunja huo mkataba.Acha majinga upande wwte una uwezo wa kuvunja mkataba ilimradi ulipe gharama za kuvunja mkataba.
Boko anakula pilau nyama matokeo yake tumeyaona. Hazeeki kijana yupo ngangariamekopa akiwa na uhakika zitarudi na atalipa. Kukopa akiwa anachezea Yanga hakuwa na uhakika wa kulipa, ndo akaamua tu ale ugali na sukari
Vigezi vya kuvunja viko palapale kwa mujibu wa FIFA. Tumia akili sio matako kufikiri.Hili ndio lilikuwa limebaki, kuna watu wanaona kijana hajui anachofanya mimi naona yuko sawa, kaanza na hatua ya kutingisha timu ya yanga kama wanamuweza ameona ngoma ngumu sasa anataka kuvunja aondoke
Boko ni legend mpe heshma yake. Akistaafu hata timu ya taifa anapata kazi.Boko anakula pilau nyama matokeo yake tumeyaona. Hazeeki kijana yupo ngangari
Mawakili wake wanasema mwanzo walifanya kuvunja tu..Ila Saivi wapo kuvunjavunja kabisa.Kwani si anaamini alishavunja? Akaaga kabisa
Inavunjwa mikataba ya ndoa sembuse hii ya mipira!!Kajiunge na team ya FEI mumsaidie kuvunja huo mkataba.
Kamssidie FEI upige mpunga. Miezi mingspi sasa yuko bench?Inavunjwa mikataba ya ndoa sembuse hii ya mipira!!
So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
Mkuu malizana na ya Feisal, haya ya Bocco hayamo katika uzi huuBoko anakula pilau nyama matokeo yake tumeyaona. Hazeeki kijana yupo ngangari
Mkuu ebu nifafanulie kidogo hili swala la fei totoWanasheria wao hawana kosa kazi Yao ni kupiga mpunga, Uzuri wa Ili swala wadau wote wa mpira wanajua nani anaye mpa kibri Feisal.
Inawezekana Feisal anafikiri Tff na Yanga hawajui kinacho endelea ndio maana Kila siku ana badilishiwa wasimamizi wa swala lake. Iyo yote ni fedha inateketea.
Sijakataa boko ni lijendi ila na mganga wake apewe heshima pia. (In ajib voice)Boko ni legend mpe heshma yake. Akistaafu hata timu ya taifa anapata kazi.
Uyu dogo anapotezwa sana na kenge wa pembeni, ina maana tff ndio waliomuajiri fei toto? Iyo barua wangeielekeza kwa mwajiri wake ambae ni yanga ili wakae mezani wayamalize, Sasa wanapeleka barua ya kuvunja mkataba tff kwaiyo tff ina uwezo gani wa kuvunja mkataba pasipokuwepo na hoja yeyote ya maana?Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
View attachment 2539157
Mkuu tumeanza lini kupangiana vitu vya kujadili humu?Mkuu malizana na ya Feisal, haya ya Bocco hayamo katika uzi huu