SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Tuepuke kutoa tuhuma kwa mtu bila ushahidi. Ni uungwana tu mkuu.Sijakataa boko ni lijendi ila na mganga wake apewe heshima pia. (In ajib voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuepuke kutoa tuhuma kwa mtu bila ushahidi. Ni uungwana tu mkuu.Sijakataa boko ni lijendi ila na mganga wake apewe heshima pia. (In ajib voice)
Watu wapo kazini unawaita wapumbavU. Inawezekana wewe ndio mpumbavu, hujui hata kazi ya mwanasheria. Unadhani kuna mwanasheria atakataa kusimamia kesi? Labda atakataa dau, ila sio kesi. Kwake kesi ndio njia ya kuendesha maisha yake, na anaombea ziwepo nyingi tu, hata muuaji atamtetea, wala usishangaeWanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu 😀😀😳😳😳😳 hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
wewe huoni mikia FC wanavyo kwenda na hii ishu bampa 2 bampa.Nani yupo nyuma ya Feisal?
Haya basi ngoja tuendelee na mambo ya Bocco. Enhee, tuliishia wapi?. Maana huko Mwanza masheikh wanaandamana kupinga vitendo kama vya kamanda wa Zanzibar, na Ukraine inapambana na kumtoa kamasi Russia huko DoneskMkuu tumeanza lini kupangiana vitu vya kujadili humu?
Kwahiyo unataka Yanga ikamtafute Feisal huko alipo ili wakae mezani wafikie makubaliano ya kuvunja mkataba au Feisal ndiye anatakiwa afike ofisi ya Yanga ili wavunje mkataba? Feisal na huyo Dejan wote walivunja mkataba kienyeji lakini uongozi wa Simba na Dejan wakaa mezani wakayazungumza na kufikiana muafaka kwasababu mkataba ni pande zote lazima zikubaliane.Sawaa ila kilichofuata ni nini? Pande zote mbili zililimaliza na maisha yakaendelea. Hilo ndilo post ile inauliza, kinachozuia pande hizi mbili kulimaliza suala lao ni nini?
Yanga hawawezi kuendelea milele kujificha kwenye kivuli cha "aje mezani tuongee". Mkataba umekiukwa, dogo hataki kuendelea kucheza, nini kinafuata? Je akitangaza kustaafu kucheza soka akavue pweza mtaendelea kumtumia mshahara wake?
Nyie si Mliwaroga wachezaji wa orlando pirates hadi ushahidi wa picha upo au nadanganya mkuu?Tuepuke kutoa tuhuma kwa mtu bila ushahidi. Ni uungwana tu mkuu.
Mwarabu anakupa sukari kila siku ubugie ana nia gani na wewe?Ile issue ya kula ugali na sukar itakuwa ni serious
Kesi ya Msuva ni tofauti hakutimiziwa yaliyomo kwenye mkataba mkuuMsuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Sisi tunachochea tu moto, wala haituhusu. Hata ikitokea akawa huru, utashangaa Feisal wala haendi Simba au Azamwewe huoni mikia FC wanavyo kwenda na hii ishu bampa 2 bampa.
Ulikuwepo mwiko ila kwa sasa hatuna uhakika !!Nani yupo nyuma ya Feisal?
Moto ulikuwa wa bangi ule, jiongeze mkuu. Wahuni walikuwa wanavuta msuba pale 🤣😂🤣Nyie si Mliwaroga wachezaji wa orlando pirates hadi ushahidi wa picha upo au nadanganya mkuu?
Simba na uchawi damu damu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Fei hataki kukubali, kaona achukue Wakili mwingine ili aweze kula pesa zake.
Mawakili na Wanasheria hawajawahi kusema suala linashindikana au wewe hutoboi, lazima wachukue pesa baadae ndio utaambiwa suala limeshindikana.
Dogo anazidi kujichelewesha,wanasheria wanazidi kummalizia akiba yake ya ugali na sukari.Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
View attachment 2539157
Masharti ya Fei kuvunja mkataba ni yapi? Sio kununuliwa, yeye kuvunja mkataba.Haujielewi, anayevunja anaingia gharama ya masharti ya mwingine, hakuna kitu kisichovunjika, shida ni gharama na masharti.
Nasiki na mkude ndio pusha wao pale bunjuMoto ulikuwa wa bangi ule, jiongeze mkuu. Wahuni walikuwa wanavuta msuba pale
Kwa sababu una mdomo mchafu acha nisijibu hiliVigezi vya kuvunja viko palapale kwa mujibu wa FIFA. Tumia akili sio matako kufikiri.
Anakoelekea atakuja kula ugali na chumvi ya maweMkataba aliingia na TFF au Yanga???
Mawakili watamfilisi huyo dogo.