Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Wanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu 😀😀😳😳😳😳 hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
Watu wapo kazini unawaita wapumbavU. Inawezekana wewe ndio mpumbavu, hujui hata kazi ya mwanasheria. Unadhani kuna mwanasheria atakataa kusimamia kesi? Labda atakataa dau, ila sio kesi. Kwake kesi ndio njia ya kuendesha maisha yake, na anaombea ziwepo nyingi tu, hata muuaji atamtetea, wala usishangae
 
Ile issue ya kula ugali na sukar itakuwa ni serious
 
Sawaa ila kilichofuata ni nini? Pande zote mbili zililimaliza na maisha yakaendelea. Hilo ndilo post ile inauliza, kinachozuia pande hizi mbili kulimaliza suala lao ni nini?

Yanga hawawezi kuendelea milele kujificha kwenye kivuli cha "aje mezani tuongee". Mkataba umekiukwa, dogo hataki kuendelea kucheza, nini kinafuata? Je akitangaza kustaafu kucheza soka akavue pweza mtaendelea kumtumia mshahara wake?
Kwahiyo unataka Yanga ikamtafute Feisal huko alipo ili wakae mezani wafikie makubaliano ya kuvunja mkataba au Feisal ndiye anatakiwa afike ofisi ya Yanga ili wavunje mkataba? Feisal na huyo Dejan wote walivunja mkataba kienyeji lakini uongozi wa Simba na Dejan wakaa mezani wakayazungumza na kufikiana muafaka kwasababu mkataba ni pande zote lazima zikubaliane.
Feisal anachokwama ni kujazwa ujeuri na wanaomzunguka kiasi kwamba afikirii kufuata sheria wala utaratibu anajiona yupo sahihi tu kwaalichofanya na ndio maana ishu imefikia hapa hadi sasa.
 
Fei anataka aondoke yanga bure bure bila Yanga kunufaika?

Aende kwa viongozi wa Yanga, aombe Yanga wamuuze, yeye anufaike na timu inufaike
 
Nyie si Mliwaroga wachezaji wa orlando pirates hadi ushahidi wa picha upo au nadanganya mkuu?
Simba na uchawi damu damu.
Moto ulikuwa wa bangi ule, jiongeze mkuu. Wahuni walikuwa wanavuta msuba pale 🤣😂🤣
 
Naona Fei hataki kukubali, kaona achukue Wakili mwingine ili aweze kula pesa zake.

Mawakili na Wanasheria hawajawahi kusema suala linashindikana au wewe hutoboi, lazima wachukue pesa baadae ndio utaambiwa suala limeshindikana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Haujielewi, anayevunja anaingia gharama ya masharti ya mwingine, hakuna kitu kisichovunjika, shida ni gharama na masharti.
Masharti ya Fei kuvunja mkataba ni yapi? Sio kununuliwa, yeye kuvunja mkataba.
 
Back
Top Bottom