mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #21
Tofautisha ishu ya Morrison na hii mkuu Au omba kuelimishwa kuhusu hili suala la mchezaji kununua mkataba wakeKipindi cha Morrison mlisema hivho hivyo mkaenda mpaka CAS lakini mwisho wa siku nini kilitokea ?
Acheni kubania vijana. Mnatumia udogo wake kumpa mshahara mbuzi. Fikirieni mchango aliowafanyia na maisha yake yaliyosalia.Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Wewe ndio hauna uwezo kwenye mambo ya sheria mkuu.. Omba kuelimishwa kuliko kuongea vitu usivyo na uelewa navyoKitengo cha sheria cha Yanga kiangaliwe, watu wake hawana uwezo.
Acha kukurupuka elewa comment, nimesema kitengo cha sheria kiangaliwe huenda uwezo wake katika contract management ni mdogo, refer tangu sakata la Morisson alivyowashinda hao wanasheria na sasa inanukia kwa Feisal, inaonekana wanashindwa kuandaa mikataba itakayoifaidisha Yanga pale mchezaji mwenye mkataba nao anapohitajika na timu nyingine.Wewe ndio hauna uwezo kwenye mambo ya sheria mkuu.. Omba kuelimishwa kuliko kuongea vitu usivyo na uelewa navyo
Sasa ulitaka Yanga wampe milioni 50 na ni yeye alisema kwenye makubaliana ya mkataba waliosinya kuwa izo mil 4 kwa mwezi ni fedha nzuri kwakeila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Umeshapanic tayari.. Ndio hauna uwezo kabisaa kwenye suala la mikataba.Acha kukurupuka elewa comment, nimesema kitengo cha sheria kiangaliwe huenda uwezo wake katika contract management ni mdogo, refer tangu sakata la Morisson alivyowashinda hao wanasheria na sasa inanukia kwa Feisal, inaonekana wanashindwa kuandaa mikataba itakayoifaidisha Yanga pale mchezaji wa mwenye mkataba anapohitajika na timu nyingine.
Halafu koma kuniita sina uwezo, kamuulize mamako uwezo wangu.
Usijifanye mjuaji we bush lawyer, Yanga sio wajinga lakini wanajua makosa yao kisheria yako wapi.Umeshapanic tayari.. Ndio hauna uwezo kabisaa kwenye suala la mikataba.
Omba uelimishwe kuliko kuingiza ishu za wazazi
Kweni kipindi anasaini alikua hajui kama atalipwa mil 4?ila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.Acheni kubania vijana. Mnatumia udogo wake kumpa mshahara mbuzi. Fikirieni mchango aliowafanyia na maisha yake yaliyosalia.
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Ushaliwa weyeKwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Ukute mkewe ndio wale maji pwa pwa pwa wa nn sasa!Sawa tutakukumbusha mm tahitaji namba za mkeo na picha yake.
Kwanini kuna sheria za kima cha chini katika mishahara karibu duniani kote? Why wasingeacha door open kila mmoja ajipambanie thamani yake?Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
Kwahiyo kima Cha kwa wachezaji ni kiasi gani?Kwanini kuna sheria za kima cha chini katika mishahara karibu duniani kote? Why wasingeacha door open kila mmoja ajipambanie thamani yake?
Nani amelalamika hapa? Kutoa ufafanuzi imekuwa malalamiko? Unauelewa wowote kuhusu mikataba?Hivi mnalalamika nini wanyanyasaji wakubwa nyie, Fei analipwa pungufu mara tano ya Morison? Morison anarukaruka kama chira tu huko uwanjani na bado mijitu inamnang’ania mchezaji eti ng’ong’o ng’ong’o pumbafuuuu zenu hamkuona hayo mda wote mliokuwa mkimuimba?
Na je Hi clause ya kuvunja mkataba mliiweka ya nini? Na kama mnasema kuvunja mkataba lazima liwe jambo kubwa basi Jambo kubwa kwa Feisal ni maslahi acheni uzwazwa