Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Acheni kubania vijana. Mnatumia udogo wake kumpa mshahara mbuzi. Fikirieni mchango aliowafanyia na maisha yake yaliyosalia.
 
Wewe ndio hauna uwezo kwenye mambo ya sheria mkuu.. Omba kuelimishwa kuliko kuongea vitu usivyo na uelewa navyo
Acha kukurupuka elewa comment, nimesema kitengo cha sheria kiangaliwe huenda uwezo wake katika contract management ni mdogo, refer tangu sakata la Morisson alivyowashinda hao wanasheria na sasa inanukia kwa Feisal, inaonekana wanashindwa kuandaa mikataba itakayoifaidisha Yanga pale mchezaji mwenye mkataba nao anapohitajika na timu nyingine.

Halafu koma kuniita sina uwezo, kamuulize mamako uwezo wangu.
 
ila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Sasa ulitaka Yanga wampe milioni 50 na ni yeye alisema kwenye makubaliana ya mkataba waliosinya kuwa izo mil 4 kwa mwezi ni fedha nzuri kwake
 
Acha kukurupuka elewa comment, nimesema kitengo cha sheria kiangaliwe huenda uwezo wake katika contract management ni mdogo, refer tangu sakata la Morisson alivyowashinda hao wanasheria na sasa inanukia kwa Feisal, inaonekana wanashindwa kuandaa mikataba itakayoifaidisha Yanga pale mchezaji wa mwenye mkataba anapohitajika na timu nyingine.

Halafu koma kuniita sina uwezo, kamuulize mamako uwezo wangu.
Umeshapanic tayari.. Ndio hauna uwezo kabisaa kwenye suala la mikataba.
Omba uelimishwe kuliko kuingiza ishu za wazazi
 
"Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji"
Wewe na nani? Acha basi kujifanya unajua, hilo group lenu la wajuaji admin ni mkeo au ni James delicious!!!
 
Umeshapanic tayari.. Ndio hauna uwezo kabisaa kwenye suala la mikataba.
Omba uelimishwe kuliko kuingiza ishu za wazazi
Usijifanye mjuaji we bush lawyer, Yanga sio wajinga lakini wanajua makosa yao kisheria yako wapi.
 
ila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Kweni kipindi anasaini alikua hajui kama atalipwa mil 4?
 
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.

Hivi mnalalamika nini wanyanyasaji wakubwa nyie, Fei analipwa pungufu mara tano ya Morison? Morison anarukaruka kama chira tu huko uwanjani na bado mijitu inamnang’ania mchezaji eti ng’ong’o ng’ong’o pumbafuuuu zenu hamkuona hayo mda wote mliokuwa mkimuimba?

Na je Hi clause ya kuvunja mkataba mliiweka ya nini? Na kama mnasema kuvunja mkataba lazima liwe jambo kubwa basi Jambo kubwa kwa Feisal ni maslahi acheni uzwazwa
 
Ushaliwa weye
 
Kuna vipengele hapa vya uvunjwaji mkataba vilivyoainishwa na FIFA .
 
Attachments

  • Screenshot_20221224-193352.png
    Screenshot_20221224-193352.png
    43.8 KB · Views: 3
Mke wako sisi wa nini?Wewe endelea kula dude lako bovu hilo.
 
Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
Kwanini kuna sheria za kima cha chini katika mishahara karibu duniani kote? Why wasingeacha door open kila mmoja ajipambanie thamani yake?
 
Kwahiyo kima Cha kwa wachezaji ni kiasi gani?
We unaishi marekani kwamba hujui yanayoendelea Tanzania hicho kima Cha chini kinafatwa na taasisi na kampuni ngapi hapa Tanzania?
 
Hivi mnalalamika nini wanyanyasaji wakubwa nyie, Fei analipwa pungufu mara tano ya Morison? Morison anarukaruka kama chira tu huko uwanjani na bado mijitu inamnang’ania mchezaji eti ng’ong’o ng’ong’o pumbafuuuu zenu hamkuona hayo mda wote mliokuwa mkimuimba?

Na je Hi clause ya kuvunja mkataba mliiweka ya nini? Na kama mnasema kuvunja mkataba lazima liwe jambo kubwa basi Jambo kubwa kwa Feisal ni maslahi acheni uzwazwa
Nani amelalamika hapa? Kutoa ufafanuzi imekuwa malalamiko? Unauelewa wowote kuhusu mikataba?
 
Back
Top Bottom