mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #21
Tofautisha ishu ya Morrison na hii mkuu Au omba kuelimishwa kuhusu hili suala la mchezaji kununua mkataba wakeKipindi cha Morrison mlisema hivho hivyo mkaenda mpaka CAS lakini mwisho wa siku nini kilitokea ?