Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Sawa basi kitaje hicho kima Cha chini Cha wachezaji tuone kama Yanga hawajafwata sheria
Nadhani kama hatujaelewana. Otherwise, ungekubaliana nami kwamba Morison hawezi kuwa na mshahara mara 5 zaidi ya Feitoto. That means walitumia udhaifu wake. Ndo hicho tunachosema.
 
Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
Icho kipengele cha mchezaji kuuvunja mkataba hakijawekwa na manara.. kimewekwa na CAF ili kulinda hadhi za wachezaji kwenye sakata kama hili.
 
Football ni biashara ila kilichofanyika kwa Fei kimefanyika kienyeji Sana
Labda ungefafanua kipi kimefanyika ndivyo sivyo..Mimi naamini kuna mengi yameongelewa na pande zote mbili kabla ya taarifa kuanza kuvuja..hapo wa kiwalaumu ni viongozi wa yangu..wamekuwaje wazembe Hadi kijana anaondoka? Walishindwa kumtimizia mahitaji yake? Walishindwa ku counter offer ofa ya Azam?
Viongozi Wana la kujibu hapa..feisal ni bidhaa iliyoko sokoni ..na demand yake ni kubwa..why usimlipe vizuri Ili kumwepusha na vishawishi
 
Nadhani kama hatujaelewana. Otherwise, ungekubaliana nami kwamba Morison hawezi kuwa na mshahara mara 5 zaidi ya Feitoto. That means walitumia udhaifu wake. Ndo hicho tunachosema.
Ana wakala wake na watu wake wa karibu nadhani walipitia walikua na nafasi pia ya kusema kitu flani kiongezwe au kipunguzwe kwenye mkataba na wakaona unawafaa na akasaini sasa ushasaini alafu badae ndo uje useme wametumia udhaifu wako.
 
Icho kipengele cha mchezaji kuuvunja mkataba hakijawekwa na manara.. kimewekwa na CAF ili kulinda hadhi za wachezaji kwenye sakata kama hili.
Manara anahusika vipi sasa hapa?
Kingine mikataba yote ya wachezaji inafwata Miongozo iliyotolewa na FIFA sasa CAF anahusika vipi?
Ni vizuri ukajielimisha na sio kukurupuka.
 
Toa namba za mkeo kwanza
 
Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
Kuna kitu hukifahamu naomba nikufahamishe..mkataba wa mwanzo mnapoingia na mchezaji .haimaanishi kwamba hamuwezi kuifanyia marekebisho au maboresho kabla haujaisha..wakati mnamsign mlimpatia 4mil ila baada ya muda kiwango chake kikipanda mnabidi muuboreshe mkataba na kumshawishi aongeze muda ..mtu kama feisal huwezi kumlipa mil 4 kamwe..Azam kaja anataka mpa 10 mil kwa mwezi..njia pekee ya kumbakisha ni kumpa anachotaka pewa na Azam la sivyo mwache aende
 
Ni mpuuzi pekee anaweza kataa deal kama hili..dogo anavuja jasho Sana..anaambulia 4mil ..Kila mechi yupo dk 90..alafu kuna mgeni analipwa mara 3 yake wakati mchango wake haufikik hata robo ya anachofanya feisal..dogo aende Azam na hapo afanye kama njia ya kwenda nje kama samatta..Hela ziko nje huku ndani kelele tu
 
Mi hayo unayonifahamisha nayafahamu kitambo sababu mpira sijaanza kufwatilia Leo.
 
Manara anahusika vipi sasa hapa?
Kingine mikataba yote ya wachezaji inafwata Miongozo iliyotolewa na FIFA sasa CAF anahusika vipi?
Ni vizuri ukajielimisha na sio kukurupuka.
Manara alisema madini ya thamani kubwa ya M4 kwa mwezi hauzwi ngoo. CAF INASIMAMIA MPIRA NA HADHI ZA WACHEZAJI AFRIKA.
 
Manara alisema madini ya thamani kubwa ya M4 kwa mwezi hauzwi ngoo. CAF INASIMAMIA MPIRA NA HADHI ZA WACHEZAJI AFRIKA.
Kwahiyo mkuu wewe na akili zako unamtumia manara kama reference yako?

Manara anacheo gani pale Yanga mpaka aongelee mikataba ya wachezaji?
 
Kwahiyo mkuu wewe na akili zako unamtumia manara kama reference yako?

Manara anacheo gani pale Yanga mpaka aongelee mikataba ya wachezaji?
Ndo mwenye akili yanga nzima
 
Kwahiyo mkuu wewe na akili zako unamtumia manara kama reference yako?

Manara anacheo gani pale Yanga mpaka aongelee mikataba ya wachezaji?
Hujaona alichopost siku mbili zilizopita akisisitiza yanga haitamuuza fei kwa vile anathamani kubwa? Au umeanza kufuatilia hizi habari leo?
 
Hujaona alichopost siku mbili zilizopita akisisitiza yanga haitamuuza fei kwa vile anathamani kubwa? Au umeanza kufuatilia hizi habari leo?
Manara kwasasa ni shabiki tu na anachoongea ni maoni yake kwa sasa hana cheo wala nafasi yoyote pale Yanga.
 
...kuachwaaa kuachwaaa ni shughuliiii peevuuu....kuachwa ni maumivuiuuu.....kuachwaaaaa...kuachwaaaaa....
HARID CHOKORAA.
 
Amewalipa ili awe huru akae na mama yake.

Mambo ya kuhusu kucheza Azam ni habari nyingine. Ndiyo maana Azam kakausha.

Ila mimi nahisi Ihefu FC wamempa hizo 112m😝😝😝😝😝😐😐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…