Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Nadhani kama hatujaelewana. Otherwise, ungekubaliana nami kwamba Morison hawezi kuwa na mshahara mara 5 zaidi ya Feitoto. That means walitumia udhaifu wake. Ndo hicho tunachosema.Sawa basi kitaje hicho kima Cha chini Cha wachezaji tuone kama Yanga hawajafwata sheria