tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Ushawahi kuajiriwa mkuu kwa mkataba au basi tu nabishana na mtu asiyejua chochote?Na kuvunja mkataba ye mwenyewe kaamua kuvunja au mkataba hauvunjiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kuajiriwa mkuu kwa mkataba au basi tu nabishana na mtu asiyejua chochote?Na kuvunja mkataba ye mwenyewe kaamua kuvunja au mkataba hauvunjiki?
Wakati mwingine ujitahidi kutumia lugha ya kistaarabu ili ueleweke. Kuna baba na mama zako humu.Tulia Leo mshikwe matako kwanza
Kweni kipindi anasaini alikua hajui kama atalipwa mil 4?
Yanga tumembakiza. HAENDI NA HATOENDA AZAM. YUPO KAMBINI MUDA HUU.
Kwaio buy-out clause ya Feitoto ni milion 112??
NAHISI wewe ni shoga hata kabla sisi hatujakuita, na mke wako analiwa Tom Boy wala si popomaKwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Manara kwasasa ni shabiki tu na anachoongea ni maoni yake kwa sasa hana cheo wala nafasi yoyote pale Yanga.
nafikiri alichokisema mtoa post ni njia sahihi kufuatwa wewe unaleta uzaramo kwenye mambo ya kutumia akili
Mazungumzo kati ya pande zote mbili lazima yawepoNjia sahihi ni ipi???kama sio kuwalipa hela na kusepa haya mlitaka awapigie magoti???Huna hela ya kumtunza mke mpe ruhsa aende kwa wenye mijihela
NDO NAKUAMBIA YUPO KAMBINI NA LEO ANACHEZAHuko kambini anafanya nini akati ni mchezaji wa azam!!!acha bangi mkuu
Hakuna mtu kamkataa ila ndo ukweli uliopo kua manara hana cheo chochote pale Yanga kwa sasa.Kwa hyo mmeanza kumkataa manara???mbona ghafla sana???
Mikataba ipo ili ivunje sema yana lialia jengeni timu yanga inaweza bila ya feiUshawahi kuajiriwa mkuu kwa mkataba au basi tu nabishana na mtu asiyejua chochote?
Tutaona Mimi na ww nani ataliwa[emoji1787][emoji1787]Ushaliwa weye
Fei ni Mali ya Azam[emoji848][emoji848][emoji1][emoji1]... Hivi nyie Mikia mnajikutaga mnajuaa Sana ???Fei ni mali halali ya azam fc
Huyo ni mbumbumbu hata usihangaike kubishana nae anapenda kujifariji tu.Fei ni Mali ya Azam[emoji848][emoji848][emoji1][emoji1]... Hivi nyie Mikia mnajikutaga mnajuaa Sana ???
Hopeless kabisaa
Mil 4 ni ndogo?ila yanga michosho sana, kumbe dogo alikua analipwa 4M tuu kwa mwezi pamoja na jitihada zote zile? halafu mnataka azeekee hapo aanze kuchekwa uzeeni? mmezingua sana.
Kuna watu ukiwasikiliza utadhani wanalipwa mil 10 kwa mwezi kumbe laki 5 lakini wanachonga sana kwenye ishu ya FeisalMil 4 ni ndogo?
Kirahisi tu hivo awe mchezaji wa azam.Huko kambini anafanya nini akati ni mchezaji wa azam!!!acha bangi mkuu
Kama ishu ya Morrison mlijua mtapigwa mlienda cas kufanya nini? Ingawa hata mimi siamini kama jamaa atacheza azamTofautisha ishu ya Morrison na hii mkuu Au omba kuelimishwa kuhusu hili suala la mchezaji kununua mkataba wake