Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Na kuvunja mkataba ye mwenyewe kaamua kuvunja au mkataba hauvunjiki?
Ushawahi kuajiriwa mkuu kwa mkataba au basi tu nabishana na mtu asiyejua chochote?
 
Kweni kipindi anasaini alikua hajui kama atalipwa mil 4?

Kulipwa m 4 sio mbaya,shida kwanini alipokuwa anaomba mumfikirie kidogo kumuongeza japo kiduchu mkakataa..??Hata mane alijiondokea liverpool kisa dharau kama hizi,huku kina salah wanalipwa vizuri yeye anachukuliwa poa poa tuu
 
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..

Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.

Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024

Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
NAHISI wewe ni shoga hata kabla sisi hatujakuita, na mke wako analiwa Tom Boy wala si popoma
 
nafikiri alichokisema mtoa post ni njia sahihi kufuatwa wewe unaleta uzaramo kwenye mambo ya kutumia akili

Njia sahihi ni ipi???kama sio kuwalipa hela na kusepa haya mlitaka awapigie magoti???Huna hela ya kumtunza mke mpe ruhsa aende kwa wenye mijihela
 
Njia sahihi ni ipi???kama sio kuwalipa hela na kusepa haya mlitaka awapigie magoti???Huna hela ya kumtunza mke mpe ruhsa aende kwa wenye mijihela
Mazungumzo kati ya pande zote mbili lazima yawepo
 
Ushawahi kuajiriwa mkuu kwa mkataba au basi tu nabishana na mtu asiyejua chochote?
Mikataba ipo ili ivunje sema yana lialia jengeni timu yanga inaweza bila ya fei
 
Huko kambini anafanya nini akati ni mchezaji wa azam!!!acha bangi mkuu
Kirahisi tu hivo awe mchezaji wa azam.

Unafikir popat ni mjinga kwenye mahojiano anaposema hawezi kuzungumzia wachezaji wenye mikataba na team nyingine?
 
Tofautisha ishu ya Morrison na hii mkuu Au omba kuelimishwa kuhusu hili suala la mchezaji kununua mkataba wake
Kama ishu ya Morrison mlijua mtapigwa mlienda cas kufanya nini? Ingawa hata mimi siamini kama jamaa atacheza azam
 
Back
Top Bottom