Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Ameambiwa atumie njia sahihi ili kuuvunja mkataba, yeye anataka kuruka fensi ili ajiondokee kinyemela. So???
Unayajua mazungumzo ya awali mpaka wakakataa kumuongezea mshahara?.Yanga wanaaminisha watu kwamba hawajaongea kabla ila sio kweli walishaongea .
 
Michango ipi wazee wa bakuli[emoji28][emoji28][emoji28].

Si mlikuwa mnapitisha bakuli
Enzi hizo zimepita we mama[emoji23][emoji23][emoji23] au ugali na Sukari umekupa sonona....

Watu ni Mwendo wa Fainali, medali, vikombe na kumwagiwa mihela....[emoji23][emoji23][emoji23]

Mmefikisha shilingi ngapi..? kesho baada ya mechi tutuwaongezea michango ...Muwahi CAS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nyie ndo mmeanza kutembeza bakuli ni aibu 😅😅😅
 
Dogo ana kipaji cha kucheza mpira! Halafu amenyimwa akili ya kuchanganua mambo. Kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana.

Yaani mkataba ulikuwa unaisha mwakani tu 2024, na hivyo angeweza kuondoka kama free agent! Alikuwa ana uwezo wa kukaa mezani na timu yake, ili kuboreshewa mkataba wake! Ila ndiyo hivyo tena. Ameamua kuchagua njia ya mkato.

Tumtakie kila lenye heri Mwenyezi Mungu ampe hikima
 
Ndio hicho ambacho mimi nimekuwa nikikisema humu. Mkataba umevunjika kwa njia ambayo sio ya kiutaratibu kivipi maamuzi yatolewe kuwa aendelee kusalia kwenye hiyo Club badala ya kumuadhibu kisha aondoke?

Siku zote mimi hoja yangu iko hapo tu

Ni sawa mkuu Scars
 
Naamin hata akienda CAS na akashinda Kesi Feisal lazima awe liable for damages alizoifanyia Yanga
Sababu yeye ndo amepelekea Yanga kufanya usajili wa wachezaji wapya kuziba nafasi yake
 
Back
Top Bottom