Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.

Article 17 inaeleza kuhusu kuvunja mkataba bila kuwa na sababu (without just cause)
Anza kupitia Art. 14 mkuu nimekuwekea na reference case.
 
Ni wewe tu ume admit ila ukweli ni kwamba wengi humu hawajui.

Article 17 inaeleza kuhusu kuvunja mkataba bila kuwa na sababu (without just cause)
A contract between a player and a club may therefore only be terminated on expiry of the contract or by mutual agreement. Unilateral termination of a contract without just cause, especially during the so-called protected period, is to be vehemently discouraged.
 
Webster – Heart of Midlothian:

The dispute between Andrew Webster and the Scottish club Hearts concerned the player's termination of the employment contract, and has become central to how compensation should be calculated where a player has terminated the contract without just cause.
 
Aliyemtunga jina la "Feitoto" ndo kampa majanga jamaa akili zimekuwa kama mtoto wa nursery
 
A contract between a player and a club may therefore only be terminated on expiry of the contract or by mutual agreement. Unilateral termination of a contract without just cause, especially during the so-called protected period, is to be vehemently discouraged.
Unilateral termination of contract without just cause ndio kipengele alichokitumia Feisali

Na mind you sheria inasema jaribio lolote la kuvunja mkataba litalofanyika, mchezaji hawezi kuendelea kuwa mwajiriwa wa Club hiyo ambayo mkataba wake wa kimahusiano umevunjika katika mazingira ya aina yeyote (with cause & without just cause)
 
Mkuu

Mkuu nimejaribu kuweka hivyo ili kupunguza mihemko ya maamuzi.
Umeona hicho kipengele happ kipo namba 3 kabisa kwenye list ya utangulizi?

Sasa fatilia hapo wameelezea hadi mchanganuo wa adhabu ambayo mchezaji aliyevunja mkataba bila sababu (without just cause)

Huku wakitaja moja ya adhabu ni kufungiwa mchezaji kwa muda fulani (baadhi ya vyanzo vimetoa mchanganuo wa adhabu hii kuwa maximum ni 4 months)

Pamoja na faini kulingana na sheria za nchi husika
 
si hamtaki na yeye kaona asitishe huduma !

Simba imeachia wachezaji wangapi wakafuate maslahi zaidi...Wengi wenu wachawi hamjijui tu.
Jibu swali langu usifanye mambo yawe mengi ombi la kuongezewa mshahara ni lazima likubaliwe?
 
Umeona hicho kipengele happ kipo namba 3 kabisa kwenye list ya utangulizi?

Sasa fatilia hapo wameelezea hadi mchanganuo wa adhabu ambayo mchezaji aliyevunja mkataba bila sababu (without just cause)

Huku wakitaja moja ya adhabu ni kufungiwa mchezaji kwa muda fulani (baadhi ya vyanzo vimetoa mchanganuo wa adhabu hii kuwa maximum ni 4 months)

Pamoja na faini kulingana na sheria za nchi husika
Umeweka vema mkuu
 
Scars

Yaani leo ndiyo nimepita hizo kanuni na sheria yaani DRC na CAS na hiyo case niliyo cite pamoja na reference case ya Webster.

Mambo ya mitandao huwa sipitii ila umeweka vema ungeweza kumshauri mkuu kuliko hizo porojo mwisho wa siku maamuzi ya CAS itakuwa ni yeye kuwalipa lakini si kurudi.
 
Unilateral termination of contract without just cause ndio kipengele alichokitumia Feisali

Na mind you sheria inasema jaribio lolote la kuvunja mkataba litalofanyika, mchezaji hawezi kuendelea kuwa mwajiriwa wa Club hiyo ambayo mkataba wake wa kimahusiano umevunjika katika mazingira ya aina yeyote (with cause & without just cause)
kama jaribio la kuvunja mkataba ni sawa amevunja mkataba anatafta nini hapo TFF si aende anakotaka kwenda yupo huru
 
Scars

Yaani leo ndiyo nimepita hizo kanuni na sheria yaani DRC na CAS na hiyo case niliyo cite pamoja na reference case ya Webster.

Mambo ya mitandao huwa sipitii ila umeweka vema ungeweza kumshauri mkuu kuliko hizo porojo mwisho wa siku maamuzi ya CAS itakuwa ni yeye kuwalipa lakini si kurudi.
Ndio hicho ambacho mimi nimekuwa nikikisema humu. Mkataba umevunjika kwa njia ambayo sio ya kiutaratibu kivipi maamuzi yatolewe kuwa aendelee kusalia kwenye hiyo Club badala ya kumuadhibu kisha aondoke?

Siku zote mimi hoja yangu iko hapo tu
 
kama jaribio la kuvunja mkataba ni sawa amevunja mkataba anatafta nini hapo TFF si aende anakotaka kwenda yupo huru
If the player cancels the contract illegally, the player must compensate the club for the damage. The amount of the damage can even be considerable, if the club has paid, for example, agent fees or similar fees for the player.
 
Kanuni zipi maana hata mkataba hajawahi kuoana unapiga kelele[emoji23][emoji23].

Nyie mnataka kumkoa hamna la maana eti Yule Azizi k apewa mil 26 then Dogo apewa 4 mna akili kweli?

Ulivyokuwa kilaza unashabikia huku Aziz k kwa kazi anayofanya pale Yanga?
Shida ya kusoma a,e,I,o,u
 
Back
Top Bottom