Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Kama ana zaidi ya mil. 200 kwenye akaunti yake kwa nini anaomba achangiwe pesa za kuendesha kesi??!!
 
We una elimu gani wakati hamna unachojua.

Mtu anapambani haki yake na ujinga wako eti elimu ,wewe imekusaidia nn? kama sip kuwa mnfiki halafu mwanaume.


Si wamuache mbona kama timu ipo vizuri kwani wanapoteza nn ?


Mashabiki wa mpira wengi ni hamnazo kila sehemu unapeleka siasa kwa elimu gani uliyokuwa nayo ? hyo elimu ya kuiba mitihani na kucopy assignments & research ndo unakuja kuandika mashudu?
Wewe ndio huna akili kuliko Feisal na Mama yeke. Haki ipi aliyonyimwa huyo mbumbumbu mwenzio?
 
Haya mfano akashinda KESI, Mtakuja msemeje humu ndani.
Simsapoti kabisa ila aina upende maana sjui Nini ttzo tunaongea bila kujua Kuna shid gani nje ya uwanja .
Tutasema tunashukuru kirusi kilikaa pembeni tukafika fainali ya CCC na ikiwezekana tutabeba ubingwa huo
 
Wasiokuwa na akili ni utopolo mchezaji hataki kubeba vibuyu bado mnamlazimisha mwambieni mganga wenu achague mchezaji mwingine ambebeshe mizigo
Kwani tangu mwaka Jana aondoke umeona timu ikifanya vibaya kisa mbeba vibuyu hayupo? Tumia kichwa kufikiri
 
Ombi linaweza kubaliwa na kukataliwa na Mkataba wako ukasubiri uishe usepe!

wapi Mkataba unasema kuomba kuongezewa mshahara kutasababisha, mkataba uvunjike au usitumikie Mkataba wako....!?

Tumia akili
😅😅Wanyonyaji watu washachoka.
 
Ulienda nae? maana Yanga washa toa wito wa maandishi kua aende yeye au wa wakilishi wake hatujaona ameenda au barua yake kama Yanga walivyo fanya
Umeona vipengele vya mkataba au shobo ?

kwa hiyo kudai kuongezewa mshahara alikuja kudai kwenu ? yeye alienda mpaka kuonana na uongozi ndo ikashindikana.
 
Wanasheria wanavyomdanganya ni kuwa, ni kweli atashindwa kesi CAS, ila kwa vile Mchezaji hana furaha na Team yake, Watavunja Mkataba wake kwa yy kupigwa Fine, then hiyo Team inayomtaka itamlipia fine basi.
Uliona wapi CAS wanavunja mikataba halali?
 
FEISAL Milioni 4.
Azizi ki 24.

Kweli inaingia akilini??????

NB.
HAKUNA MKATABA USIOVUJWA DUNIANI.
Ungekaa kimya tusingejua kama hujui, mkataba alilazimishwa kusaini? Leo Ronaldo analipwa zaidi ya B 1 kwa wiki na anazurura tu uwanjani, kwa hiyo anayelipwa kidogo agome kwamba ananyanyaswa.
 
Haya malalamiko yako yamekaa kingumbalu sana. Ulitaka hiyo mishahara yao ilingane? Na uliwahi kuona wapi wachezaji wanalipwa mishahara sawa?

Au unataka kuniambia Clotus Chama na Jonas Mkude mwenye miaka zaidi ya 10 pale simba wanalipwa mshahara sawa?

Je, unafahamu msugua benchi Eden Hazard analipwa mshahara mkubwa Real Madrid kuliko hata wale wachezaji wanaocheza kila wiki! Lakini huwezi kuwaona wakiingiwa na wivu kama huyo kiazi wenu!!

Ibrahimu Abdallah 'Bacca' ameongezewa mshahara mwezi uliopita tu, baada ya kuonesha juhudi uwanjani! Je, ulimsikia akilalamika kwa nini Mamadou Doumbia anaye sugua benchi muda mwingi, alikuwa analipwa mshahara mkubwa kuliko yeye?

Ni kwa sababu kila mtu aliingia Yanga kwa mkataba wake, na pia kwa makubaliano yake na klabu.
Usitumie nguvu kubwa kumuelimisha mbumbumbu hawaelewi hawa
 
Umechanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mnampoteza kijana weni ktk ulimwengu wa Soka
Anapotea wapi si mumuache kama sio shobo mgando ni nn?😅😅😂

Timu nzima na wafuasi wake wote vilaza ..Haya wewe unanufaika na nn unaishi Tandale ndani ndani muache dogo wa watu akapate pesa.
 
Back
Top Bottom