Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Yanga si wamemuita Klabuni na kumuelekeza Nini anatakiwa kufanya ...au!?
Yanga wametoa option kuwa aende yeye au timu inayomtaka iende ila haijasema ni nn anachotakiwa kufanya kuvunja mkataba wake.

Hapa ndo kunaposhangaza pia. Kwann Fei asiende akarudi akisema masharti nimepewa ni haya na hayatekelezeki?
 
Hakuna suala kuachiwa huru hapo,, Kuna kulipa gharama

Ni kinyume na kuachiwa huru
Gharama Fei hajawahi sema kuwa ni tatizo. Ndo maana nasema kuna jambo Yanga na Fei hawalisemi. Yanga ingesema lipa kiasi fulani uondoke na sababu halafu Fei akagoma hapo tungeweza kupima moja kwa moja nani muhuni.
 
Tayari ameshavuna AIBU maana amekaa nje na Yanga imefika Fainali
Kwani sababu ya Fei kuondoka ni kuiteteresha Yanga au kupata maslahi mazuri nje ya Yanga?
 
Yanga wametoa option kuwa aende yeye au timu inayomtaka iende ila haijasema ni nn anachotakiwa kufanya kuvunja mkataba wake.

Hapa ndo kunaposhangaza pia. Kwann Fei asiende akarudi akisema masharti nimepewa ni haya na hayatekelezeki?
Sasa si aende au atume wawakilushi wake tutajua mbivu na mbichi....anashindwa Nini!?

Shida kwake ni Yanga hawajakiuka kipengele chochote cha mkataba....

Yeye kaviolate mkataba lazima wamalizane nae kinidhamu kwanza.....ndicho hofu yake...

Alafu kumbuka kwa muda uliobakiwa hakupaswa kurubuniwa na Timu yoyote.....labda angebakisha miezi sita....

Kwa Sasa ipo shida kwake!!?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nina uhakika Yanga ingefanya vibaya ligi ya ndani na ya Shirikisho(Caf) issue ya Feisal ingepata Airtime sana na Headlines kwenye media/public. Ila Mungu akaamua Kumuabisha Yuda Iskarioti na waliomtuma
 
Avunje kama ni rahisi kiivyo.....ukanywe alkasusu alafu uje useme navunja Mkataba tu....

Punguza Bangi...
Hujajibu swali, huu sio mjadala wa walevi unahitaji kuja na hoja.

Unaelewa terms za kuvunja mkataba kwa mujibu wa FIFA?
 
Gharama Fei hajawahi sema kuwa ni tatizo. Ndo maana nasema kuna jambo Yanga na Fei hawalisemi. Yanga ingesema lipa kiasi fulani uondoke na sababu halafu Fei akagoma hapo tungeweza kupima moja kwa moja nani muhuni.
Aende akawaeleze na nia yake ya kuvunja Mkataba...Tujue Yanga watamwambia nini
 
Sasa si aende au atume wawakilushi wake tutajua mbivu na mbichi....anashindwa Nini!?

Shida kwake ni Yanga hawajakiuka kipengele chochote cha mkataba....

Yeye kaviolate mkataba lazima wamalizane nae kinidhamu kwanza.....ndicho hofu yake...

Alafu kumbuka kwa muda uliobakiwa hakupaswa kurubuniwa na Timu yoyote.....labda angebakisha miezi sita....

Kwa Sasa ipo shida kwake!!?
Kwa hiyo hakuna sababu ya kwenda, asubirie kiwango cha faini ili kama hakilipiki ndo aende.
 
Kwa hiyo hakuna sababu ya kwenda, asubirie kiwango cha faini ili kama hakilipiki ndo aende.
Kwenda ni lazima ....kiburi kitamfikisha pabaya....

Ni Bora akasikia mapema akaenda tu...atakuwa Funzo kwa soka la Africa na Dunia , Wacha ashupaze shingo tu
 
Yanga taarifa hiyo wataipata wapi!? Mchezaji haonekani kambini!? anakiuka masharti ya mkataba wa kuutumikia timu....

Anaandikiwa barua hajibu .....anazurula TFF....TFF wanamrudisha Klabuni akafuate TARATIBU ..,atekelezi...

Yanga sio wajinga.
Kila upande una haki zake, tusubiri tu
 
Kwenda ni lazima ....kiburi kitamfikisha pabaya....

Ni Bora akasikia mapema akaenda tu...atakuwa Funzo kwa soka la Africa na Dunia , Wacha ashupaze shingo tu
Mfano kwa soka la dunia hii hii ya kina mancity na liverpool? Hapa umekuza.
 
Back
Top Bottom