Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Haki anapata wapi wakati masharti ya mkataba wake yametekelezwa kwa asilimia mia na upande wa pili!!?

Ila yeye ndio analeta uhuni dhidi ya Mkataba aliosaini kwa hiari yake !? na kulazimisha uvunjike bila kufuata utaratibu...

Aende Yanga apeleke au aseme timu inayomuhitaji....taratibu zifuatwe akacheze anakohitaji.....

Ni Sheria na Kanuni ndio zitavunja mkataba sio uhuni anauofanya....
Unamaanisha kua mkataba hauwezi kusitishwa bila sababu yoyote ikiwa msharti yote ya kimkataba yapo sawa
 
Unamaanisha kua mkataba hauwezi kusitishwa bila sababu yoyote ikiwa msharti yote ya kimkataba yapo sawa
Ukikiuka Sheria zitakusokota,, Mikataba inalindwa na Sheria....

Zipo sababu .....zikikidhi mkataba unaweza poteza sifa kisheria....

Vinginevyo subiri kuhukumiwa kwa ku violate huo mkataba...

Ujinga hauvunji mkataba ni Sheria zaidi...
 
[emoji28][emoji28]Wewe zero kabisa.

Mwenzio anayo sababu kwamba ombi lake la kuongezewa mshahara halikupatiwa majibu akaomba wavunje mktaba na mkataba anaujua kushinda wewe mkaaa kijiwe cha bodaboda.
Ombi linaweza kubaliwa na kukataliwa na Mkataba wako ukasubiri uishe usepe!

wapi Mkataba unasema kuomba kuongezewa mshahara kutasababisha, mkataba uvunjike au usitumikie Mkataba wako....!?

Tumia akili
 
Ukikiuka Sheria zitakusokota,, Mikataba inalindwa na Sheria....

Zipo sababu .....zikikidhi mkataba unaweza poteza sifa kisheria....

Vinginevyo subiri kuhukumiwa kwa ku violate huo mkataba...

Ujinga hauvunji mkataba ni Sheria zaidi...
Ok bro.. Feisal aliamka tu nakuenda Yanga na kuomba kuvunja mkataba au alikuwa na sababu yoyote kama msingi wa madai yake
 
Ok bro.. Feisal aliamka tu nakuenda Yanga na kuomba kuvunja mkataba au alikuwa na sababu yoyote kama msingi wa madai yake
Hakukaa mezani na viongozi wa Yanga kuhusu kuboreshewa mkataba au kuhusu kusitisha mkataba na kwamba wamemkatalia ama kumkubalia ..

Katumbukiza pesa kwa account ya Yanga na kudai amevunja mkataba na Yanga bila kuafikiana wenzake(Yanga) ktk huo mkataba...

Kafanya Uhuni dhidi ya mkataba wake halali!? Ndio maana TFF wakamrudisha Yanga akafuate TARATIBU tu...mbona Simple...
 
Hakukaa mezani na viongozi wa Yanga kuhusu kuboreshewa mkataba au kuhusu kusitisha mkataba na kwamba wamemkatalia ama kumkubalia ..

Katumbukiza pesa kwa account ya Yanga na kudai amevunja mkataba na Yanga bila kuafikiana wenzake(Yanga) ktk huo mkataba...

Kafanya Uhuni dhidi ya mkataba wake halali!? Ndio maana TFF wakamrudisha Yanga akafuate TARATIBU tu...mbona Simple
Ok.... Kwa maelezo yako dogo kaliwa kichwa
 
Anajiweka ktk wakati mgumu ...Yanga hawajakiuka sharti hata Moja ktk mkataba aliosaini kwa hiari yake.....

Tamaa zake za kutaka kulipwa vizuri na kurubuniwa zimempofusha.....
Tamaa mbele mauti nyuma.... Vipi hii pesa anayochangisha ni kweli Hana au anataka kujustify kitu fulani kisheria
 
Hizi unaelewa hata iyo maana ya Mutual agreement??
Mbwa kama nyie ndio mnaompotosha kijana.
Ngoja nikuweke sawa kwa tarifa yako popote atapoenda atashindwa, hata akienda mahakama za kiraia Bado hawezi kutoboa
Labda aende dawati la jinsia
 
Tamaa mbele mauti nyuma.... Vipi hii pesa anayochangisha ni kweli Hana au anataka kujustify kitu fulani kisheria
Yote yanawezekana......lkn sijui kisheria zitajustify Nini!? naona anatafuta Huruma huku akiingiza TFF ktk mgogoro ...

Atajifunza kitu lkn....
 
Kila Yanga inapokuwa kwenye matayarisho ya mechi muhimu lazima Feisal akiubuke kwa kifupi kuna kundi linamtumia lakini baadae watamtosa..
Yanga ndio ilioanza kuibua mjadala kwa kumshtaki kwenye kamati ya maadili
 
Unavunjwajwe? Hata wewe nikikuuliza Fei anatakiwa afanyaje jibu utakalotoa ni afuate taratibu, Taratibu zipi? Si ziwekwe wazi tujue Fei anafeli wapi. Unataka kuvunja mkataba? Lipa moja, mbili, tatu, njoo na moja, mbili, tatu. Wanaambiana vyumbani huko halafu huku nje wanakuja na hajafata taratibu, huyu nae anataka achangiwe.

Hapa Fei na Yanga kuna kitu hawasemi. Mashabiki si wa kulaumiwa wao Fei akirudi yanga watashangilia, akifukuzwa watashangilia, akifungiwa watashangilia.
Labda wewe ndio haujui taratibu za kuvunja mkataba wa mchezaji, mtu kaambiwa aende klabuni kwake au apeleke barua apewe gharama za kuvunja mkataba au timu unayo mtaka ipekele offer anazurula hapo TFF anapoteza mda, hata huko CAS anaenda kupoteza mda wake
 
Wataomchangia hizo pesa nao hamnazo. Ila acha aende CAS, aangukie pua ndio arudi chini kujipanga na upya.

Namuonea huruma kwani atavyoshindwa case CAS, itambidi alipe gharama Yanga atazotumia kwenye case.
Kipindi cha bakuli tulijitolea kuichangia Yanga japo tulijua most of you hamna akili except for two people
 
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.

Hata hivyo:

Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili kubwa kuliko hata ya mwenye Elimu ,mfano mzuri ni kwa mchaga, mkinga na mpemba aliyeishia la nne ana akili kubwa ya biashara kuliko professor wa UDSM.
Na ndio maana wapo walioishia std 7 lakini wana akili kubwa sana na sio rahisi kushikiwa akili, sio rahisi kudanganywa, sio rahisi kuendeshwa.

Feisal yeye amekosa vyote, AKILI na ELIMU, ameshikiwa tu akili kwa maslahi ya hao waliomshikia akili. Nadhani angekuwa anacheza soka Ulaya angekuwa kama yule mchezaji nadhani anaitwa Eboue aliyefilisiwa mali na Mke. Eboue alikosa akili ya kujua dhamira ya ndani ya mke anayemuoa. Lakini tunashuhudia akili kubwa ya Hakhim jinsi alivyompiga chenga mke tapeli.

Kukosa Elimu ni bora kuliko Kukosa AKILI
Kwenye mashati ya shule walikuwa wanatugongea nembo kwenye mifuko "Elimu ni taa ya maisha"

Ndugu Feisal anatangatanga wakati huo Yanga inazidi kuchanja mbuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Feisal anatafuta haki yake si ya wachezaji wazawa kwani yeye ameamua kuwa mwana harakati badala ya kucheza mpira.

Kafikia hatua ya kutafuta hela za huruma.
Hela za huruma zilitolewa kipindi cha bakuli, mlipiga kampeni kwenye tv kila time kulikuwa kuna maandishi yanayosomeka changia Yanga.
 
Back
Top Bottom