CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Sijaelewa umeandika nini!
Ana passport Dubai nk.
Si ungekaa kimya ili ufiche ujinga wako!
HUWEZI kuelewa kwa sababu huna uelewa.
FIKICHA AKILI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa umeandika nini!
Ana passport Dubai nk.
Si ungekaa kimya ili ufiche ujinga wako!
Sio issue kimpira wetu kivyetu vyetu...mbona Mkude alikuwa mgonjwa wa Akili na alipewaga unahodha huko Simba....FEI ASIYE NA AKILI ALIPEWA UNAODHA YANGA.
Sio issue kimpira wetu kivyetu vyetu...mbona Mkude alikuwa mgonjwa wa Akili na alipewaga unahodha huko Simba....
Na alitibiwa juzi juzi hapa badala ya matendo yake ya utovu wa nidhamu kuzidi....au umesahau...!?[emoji1787][emoji1787]
Unalinganisha mchezaji mwenya cv ya kucheza Fainali za CAF na mchezaji wa NBC premier league na Mapinduzi Cup....FEISAL Milioni 4.
Azizi ki 24.
Kweli inaingia akilini??????
NB.
HAKUNA MKATABA USIOVUJWA DUNIANI.
Si alikuwa mgonjwa wa Akili....1. Mkude alivuliwa unahodha tangu 2017 huko.
2. Uliona majibu ya vipimo vyake?????
Sijaona popote Yanga wakisema Feisal lazima achezee Yanga, wao wametoa options ambazo ndio zinatakiwa kufuatwa pale inapoitaji kuvunja mkataba.jifanya hamnazo hujui kinachoendelea..Mtu hataki si baki mbona shobo nyingi?
Mbwakoko mpo wengi sana, Aya nenda haraka kamchangie Pesa ya kwenda CAS kulialia hakutasadia loloteMchezaji anataka kuvunja mkataba, wewe unampa machaguo ambayo hayana takwa lake la kuvunja, mlikua wapi kubolesha hayo maslai? Hersi aache umbumbu wa kumngangania mchezaji asiyewataka
Hizi unaelewa hata iyo maana ya Mutual agreement??Kwani mutual agreement hamna?
Mnakaza kichwa tu na roho mbaya ...Muacheni aende.
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.
Hata hivyo:
Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili kubwa kuliko hata ya mwenye Elimu ,mfano mzuri ni kwa mchaga, mkinga na mpemba aliyeishia la nne ana akili kubwa ya biashara kuliko professor wa UDSM.
Na ndio maana wapo walioishia std 7 lakini wana akili kubwa sana na sio rahisi kushikiwa akili, sio rahisi kudanganywa, sio rahisi kuendeshwa.
Feisal yeye amekosa vyote, AKILI na ELIMU, ameshikiwa tu akili kwa maslahi ya hao waliomshikia akili. Nadhani angekuwa anacheza soka Ulaya angekuwa kama yule mchezaji nadhani anaitwa Eboue aliyefilisiwa mali na Mke. Eboue alikosa akili ya kujua dhamira ya ndani ya mke anayemuoa. Lakini tunashuhudia akili kubwa ya Hakhim jinsi alivyompiga chenga mke tapeli.
Kukosa Elimu ni bora kuliko Kukosa AKILI
Unavunjwajwe? Hata wewe nikikuuliza Fei anatakiwa afanyaje jibu utakalotoa ni afuate taratibu, Taratibu zipi? Si ziwekwe wazi tujue Fei anafeli wapi. Unataka kuvunja mkataba? Lipa moja, mbili, tatu, njoo na moja, mbili, tatu. Wanaambiana vyumbani huko halafu huku nje wanakuja na hajafata taratibu, huyu nae anataka achangiwe.Ndio unavunjwa kama kuni?
Mutual agreement ni zipi? Unayajua makubaliano yao?Hizi unaelewa hata iyo maana ya Mutual agreement??
Mbwa kama nyie ndio mnaompotosha kijana.
Ngoja nikuweke sawa kwa tarifa yako popote atapoenda atashindwa, hata akienda mahakama za kiraia Bado hawezi kutoboa
Haki inanjia zake za kudai ili uahonde, unaweza ukadai haki yako kwa kwa njia unayoitumia jamii ikakutoa akili.Kwahiyo mtu kudai haki yake ni kukosa akili ???
Mpaka leo hajajua njia anayotaka kutumia kuvunja mkataba Duniani haitumiki, kama hivyo wachezaji wa Ulaya wangekuwa wanazitumia, Mfano Madridi wanamuhitaji Mbappe kwaiyo wanampa pesa anawaingizia PSG akakuwa kashavunja mkataba.Dogo ana kipaji cha kucheza mpira! Halafu amenyimwa akili ya kuchanganua mambo. Kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana.
Yaani mkataba ulikuwa unaisha mwakani tu 2024, na hivyo angeweza kuondoka kama free agent! Alikuwa ana uwezo wa kukaa mezani na timu yake, ili kuboreshewa mkataba wake! Ila ndiyo hivyo tena. Ameamua kuchagua njia ya mkato.
Mbona makocha wa Ulaya wanazidiwa mishahara na wachezaji na makocha hawa lalamiki? , Kila mchezaji ana mkataba wake aliosaini na timu, ni maajabu kuzungumzia mkataba wachezaji mwenzako au staff mwenzio, Harzad wa Madridi analipwa pesa nyingi kuwazidi wenzake, lakini wachezaji wenzake wametulia wana cheza mpira.YANI WEWE NGUMBALU PANGU PAKAVU UNAJIFANANISHA NA FEISAL.
1. Mwenzio ana mawakili na wanasheria kibao.
2. Anazaidi ya Milioni m200 kwenye account yake.
3 Ana pasport na safari za Dubai nk.
We zanzibar hujawahi fika
HATA NDEGE HUJAWAHI KUPANDA.
ANHEKUWA TAHIRA ANGEKUBALI KULIPWA MILIONI 4 AZIZI KI MTOKEA BENCHI ALAMBE 24 SHAME ON U
Haya malalamiko yako yamekaa kingumbalu sana. Ulitaka hiyo mishahara yao ilingane? Na uliwahi kuona wapi wachezaji wanalipwa mishahara sawa?FEISAL Milioni 4.
Azizi ki 24.
Kweli inaingia akilini??????
NB.
HAKUNA MKATABA USIOVUJWA
Hiyo million 200 ni kubwa kwako. Halafu ulivyo bwege unaona kwenda znz ni kama umekwenda Ulaya wakati ni kama Tanga tu.YANI WEWE NGUMBALU PANGU PAKAVU UNAJIFANANISHA NA FEISAL.
1. Mwenzio ana mawakili na wanasheria kibao.
2. Anazaidi ya Milioni m200 kwenye account yake.
3 Ana pasport na safari za Dubai nk.
We zanzibar hujawahi fika
HATA NDEGE HUJAWAHI KUPANDA.
ANHEKUWA TAHIRA ANGEKUBALI KULIPWA MILIONI 4 AZIZI KI MTOKEA BENCHI ALAMBE 24 SHAME ON U