Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

BASI UONGOZI WA YANGA WALIKUWA WAPUMBAVU KUMPA UNAODHA MPUMBAVU.

Muite

kweli kwa ANDIKO lako nasadiki kusema KWELI yanga WENYE AKILI NI WAWILI TU.

Manahodha yanga.

1.mwamnyeto.
2. FEISAL SALUM.
3. Dickson Job.
 
1685094632851.png
 
We una elimu gani wakati hamna unachojua.

Mtu anapambani haki yake na ujinga wako eti elimu ,wewe imekusaidia nn? kama sip kuwa mnfiki halafu mwanaume.

Si wamuache mbona kama timu ipo vizuri kwani wanapoteza nn ?

Mashabiki wa mpira wengi ni hamnazo kila sehemu unapeleka siasa kwa elimu gani uliyokuwa nayo ? hyo elimu ya kuiba mitihani na kucopy assignments & research ndo unakuja kuandika mashudu?
Haki yake gani iyo anayoipigania? Na ni timu gani inayomshikilia maana Feitoto hayuko kambini Yanga miezi sita sasa
 
Unaamini Mtu aliepeleka milioni 115 kuvunja mkataba anakosa millioni 57 ?

Unaamini atashindwa vipi endapo atashinda?
Ukiishughulisha kidogo tu akili utagundua nani yuko nyuma ya hii drama, tuliosoma Cuba tunaelewa. Alienda trip Dubai na private trainers leo aje alie michango kwenye media, tufikiri nje ya sanduku bandugu tunaelewa.
 
Tatizo ni kukosa Akili ya kujua kuwa waliomshauri walikuwa na jambo lao lingine . Kimsingi ni baadhi ya wa Nazi wa Simba waliotaka kuiletea Yanga Frustration ili isisonge mbele na bahati nzuri wamepata aibu kubwa sana Makolo na Feisal
Shukrani za ziada ziende kwa Azam fc waliomuacha Mudathiri Yahaya.
 
Wataomchangia hizo pesa nao hamnazo. Ila acha aende CAS, aangukie pua ndio arudi chini kujipanga na upya.

Namuonea huruma kwani atavyoshindwa case CAS, itambidi alipe gharama Yanga atazotumia kwenye case.
Kule hakuna mwigulu wa kutoa maelekezo
 
Mchezaji anataka kuvunja mkataba, wewe unampa machaguo ambayo hayana takwa lake la kuvunja, mlikua wapi kubolesha hayo maslai? Hersi aache umbumbu wa kumngangania mchezaji asiyewataka
 
We una elimu gani wakati hamna unachojua.

Mtu anapambani haki yake na ujinga wako eti elimu ,wewe imekusaidia nn? kama sip kuwa mnfiki halafu mwanaume.

Si wamuache mbona kama timu ipo vizuri kwani wanapoteza nn ?

Mashabiki wa mpira wengi ni hamnazo kila sehemu unapeleka siasa kwa elimu gani uliyokuwa nayo ? hyo elimu ya kuiba mitihani na kucopy assignments & research ndo unakuja kuandika mashudu?
Haki gani anayo pambania?
 
Back
Top Bottom