Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Shida ipi? wengi wajinga hamjielewi kuna mkataba ambao hauna kipengele cha kuvunjika ?

Rudi kasome kwanza ndo uje .
Haya tufanye Kipengele cha kuvunjika kipo!? Haya kitaje basi ambacho ilitakiwa kivunjwe na taratibu za kukivunja zipoje!?

Nasi Tumchangie aende Cas kukivunja kwa maana Yanga akivunjiki.....

Tukiwaambia mna Akili ndogo ....mtabisha
 
Huoni kama nyie mno hamna elimu hapo sasa.

Roho mbaya maana mnajua labda anaensa simba .
 
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.

Hata hivyo:

Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili kubwa kuliko hata ya mwenye Elimu ,mfano mzuri ni kwa mchaga, mkinga na mpemba aliyeishia la nne ana akili kubwa ya biashara kuliko professor wa UDSM.
Na ndio maana wapo walioishia std 7 lakini wana akili kubwa sana na sio rahisi kushikiwa akili, sio rahisi kudanganywa, sio rahisi kuendeshwa.

Feisal yeye amekosa vyote, AKILI na ELIMU, ameshikiwa tu akili kwa maslahi ya hao waliomshikia akili. Nadhani angekuwa anacheza soka Ulaya angekuwa kama yule mchezaji nadhani anaitwa Eboue aliyefilisiwa mali na Mke. Eboue alikosa akili ya kujua dhamira ya ndani ya mke anayemuoa. Lakini tunashuhudia akili kubwa ya Hakhim jinsi alivyompiga chenga mke tapeli.

Kukosa Elimu ni bora kuliko Kukosa AKILI

Kuamkia mihogo iliyolala & kuchacha. Ni mbaya sanah
 
Kwan ameishia form ngapi ?
 
YANI WEWE NGUMBALU PANGU PAKAVU UNAJIFANANISHA NA FEISAL.

1. Mwenzio ana mawakili na wanasheriankibao.

2. Anazaidi ya Milioni m200 kwenye account yake.

3 Ana pasport Dubai nk.

WEWE HATA NDEGE HUJAWAHI KUPANDA.

ANHEKUWA TAHIRA ANGEKUBALI KULIPWA MILIONI 4 AZIZI KI MTOKEA BENCHI ALAMBE 24 SHAME ON U
Sijaelewa umeandika nini!

Ana passport Dubai nk.

Si ungekaa kimya ili ufiche ujinga wako!
 
Badala angekomaa na timu inayomtaka ikafanye mazungumzo na Yanga, yeye anataka kwenda CAS ambako ni dhahiri ataambiwa yale yale aloambiwa na TFF
 
Hapo pia amechemka ...mkataba wake ungebakisha miezi sita...timu zilikuwa zinaruhusiwa kuongea nae....

Yeye mkataba wake mpaka 2024 toka alivyozingua so anaogopa hili,
Timu zilizomrubuni zitashughulikiwa na FIFA+ TFF

Fei amechanganyikiwa......
 
fei kashindwa kuwatambua maadui wa ndoto zake.....na hili ni tatizo walilonalo watu wengi unamuona mtu anaishi na ndugu yake na anampenda kwelikweli na kila anachoshauriwa anafanya........lakini ukiisoma saikolojia ya huyu ndugu yake unaona kabisa hana nia njema na mwenzie kwa lugha ya kawaida anamchimbia mashimo kisirisiri ili amuangamize na mara nyingi watu kama faisal huwa wanashtuka mambo yameishaharibika
 
Back
Top Bottom