Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unayajua mazungumzo ya awali mpaka wakakataa kumuongezea mshahara?.Yanga wanaaminisha watu kwamba hawajaongea kabla ila sio kweli walishaongea .Ameambiwa atumie njia sahihi ili kuuvunja mkataba, yeye anataka kuruka fensi ili ajiondokee kinyemela. So???
Ondoa upumbavu wako...Unayajua mazungumzo ya awali mpaka wakakataa kumuongezea mshahara?.Yanga wanaaminisha watu kwamba hawajaongea kabla ila sio kweli walishaongea .
Toka hapa hanithi!Ondoa upumbavu wako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmechanganyikiwa michango imebuma manina...Toka hapa hanithi!
Michango ipi wazee wa bakuliπ π π .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmechanganyikiwa michango imebuma manina...
Enzi hizo zimepita we mama[emoji23][emoji23][emoji23] au ugali na Sukari umekupa sonona....Michango ipi wazee wa bakuli[emoji28][emoji28][emoji28].
Si mlikuwa mnapitisha bakuli
Nyie ndo mmeanza kutembeza bakuli ni aibu π π πEnzi hizo zimepita we mama[emoji23][emoji23][emoji23] au ugali na Sukari umekupa sonona....
Watu ni Mwendo wa Fainali, medali, vikombe na kumwagiwa mihela....[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefikisha shilingi ngapi..? kesho baada ya mechi tutuwaongezea michango ...Muwahi CAS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dogo ana kipaji cha kucheza mpira! Halafu amenyimwa akili ya kuchanganua mambo. Kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana.
Yaani mkataba ulikuwa unaisha mwakani tu 2024, na hivyo angeweza kuondoka kama free agent! Alikuwa ana uwezo wa kukaa mezani na timu yake, ili kuboreshewa mkataba wake! Ila ndiyo hivyo tena. Ameamua kuchagua njia ya mkato.
Dogo anapitia kipindi kigumu sana. Yaani wenzake muda huu wako hotelini wakijiandaa kwa ajili ya mchezo wa fainali hapo baadaye! Yeye yuko Mecca kuhiji!!View attachment 2637693
Tumtakie kila lenye heri Mwenyezi Mungu ampe hikima
Ndio hicho ambacho mimi nimekuwa nikikisema humu. Mkataba umevunjika kwa njia ambayo sio ya kiutaratibu kivipi maamuzi yatolewe kuwa aendelee kusalia kwenye hiyo Club badala ya kumuadhibu kisha aondoke?
Siku zote mimi hoja yangu iko hapo tu