Feisal Salum nakusalimia Kijana wangu. Habari za Kigali

Feisal Salum nakusalimia Kijana wangu. Habari za Kigali

Ni jambo zuri dogo amepata mkwanja wa kutosha baada ya kusajiliwa Azam!
Ila ndiyo hivyo tena! Asahau kuhusu furaha ya kubeba mataji na kupata mafanikio makubwa kwenye soka.

Labda afanye zengwe ahamie timu kama Simba. Azam hawajawahi kuwa na msukumo wa kutaka mafanikio makubwa ndani na nje ya nchi kama ilivyo kwa Yanga.
 
.
IMG_20240825_101710.jpg
 
Yeye ndo anacheza huku akiwaza kuwaonyesha yanga kwamba yeye ni bora.
Wewe unacheza na APR huku unaiwaza yanga kweli..
Sio kweli,Yanga ndio wanaumia na Feisal chuki ni kubwa sana huko mtaani ndio usiseme,Wana Yanga waache dogo aendelee na maisha aliyoyachagua......akiifunga Yanga wanataka alie asishangilie kweli?
Yanga ni kubwa kuliko Feisal kwa nini mnaleta utopolo?
 
Kwahiyo yanga ndo imefanya wapigwe na APR ? yeye apambane na hali yake ...
 
Back
Top Bottom