B Bon-CN JF-Expert Member Joined Oct 14, 2020 Posts 1,514 Reaction score 3,000 Jun 4, 2023 #461 Umkonto said: Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana. Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkataba hauvunjwi na Enginer bali na Klabu! Na huyo Feisal hana hadhi ya kuwa na bifu na Engineer, acheni kumjaza ujinga!!
Umkonto said: Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana. Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkataba hauvunjwi na Enginer bali na Klabu! Na huyo Feisal hana hadhi ya kuwa na bifu na Engineer, acheni kumjaza ujinga!!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jun 4, 2023 #462 Bon-CN said: Mkataba hauvunjwi na Enginer bali na Klabu! Na huyo Feisal hana hadhi ya kuwa na bifu na Engineer, acheni kumjaza ujinga!! Click to expand... Sasa ndiyo Engineer ambashie mtoto wa watu wakati Kabwili yupo?
Bon-CN said: Mkataba hauvunjwi na Enginer bali na Klabu! Na huyo Feisal hana hadhi ya kuwa na bifu na Engineer, acheni kumjaza ujinga!! Click to expand... Sasa ndiyo Engineer ambashie mtoto wa watu wakati Kabwili yupo?