Mkataba hauvunjwi na Enginer bali na Klabu! Na huyo Feisal hana hadhi ya kuwa na bifu na Engineer, acheni kumjaza ujinga!!Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana.
Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app