demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #21
Si nyinyi wenyewe ndio mlikuwa mkiimba mapambio ya kuwa Feisal yuko sahihi kuvunja mkataba wake?TFF walisema Jumatatu ya leo wangekuja na maelezo kamili kuhusu hili suala, vipi nyie utopolo, mmeshaona taarifa yoyote toka TFF mpaka jioni hii karibia na giza?
Halafu mkiambiwa mnabebwa hamtaki kuelewa, ni kelele tu mnazotupigia.
Kama yuko sahihi ni wapi anakwama si aende CAS kama mlivyo mshauri.
TFF ile ile iliyo tupendelea kwenye kesi ya Morrison ndio hii unayoizungumzia?