Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

Huna Unachokijua Wewe Paka, Kwenye Ishu Ya Morrison Na Yanga TFF Walikuwa Wazuri Sana Kwenu Kisa Yanga ilishindwa Kesi Lakini Leo Kwenye Kesi Hii Ushindi Upo Kwa Yanga Mnajifanya Eti TFF Wanapendelea….PUMBAVU KABISA KOLO WAHEEED!
Uyo sio paka tu ni kenge aliyepotea njia kwenye msafara wa mamba, vijana kama awa wanapatikana ile mitaa ya umbumbumbuni!
 
Udhaifu upi uliopo kwenye mkataba wa fei ebu tuambie? Kama mkataba wake una thamani ndogo kwanini anakwepa kwenda kukaa mezani na yanga wamwambie wanataka bei gani za kuuvunja huo mkataba? Anajua atatajiwa dau kubwa ambalo wanaomrubuni walitaka wampate kwa gharama ndogo ndio maana wakafanya uhuni waliotaka kuufanya wakagonga mwamba
Hujajibu swali la kwanza. Kwann Yanga baada ya aliyoyafanya Fei wapo tayari kuboresha maslahi yake sasa? Unadhani hawaoni tatizo limeanzia kwenye mkataba usio fanana na thamani ya mchezaji?

Hayo ya kukaa mezani na Yanga ndicho anachofanya sasa hivi kupitia TFF, Amepeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba. Iwapo TFF itaruhusu, Yanga itakuwa kwenye mtego wa kusema alete kiasi gani na kwanini na hapo ndipo udhaifu ulipo. TFF isipo ruhusu itahalalisha sasa mchezaji kuwa na sababu ya kulalamika iwapo vipengele vya kuvunja mkataba vipo. Mwanzoni tatizo lilikuwa ni utaratibu, hajapeleka maombi, hajakaa na viongozi. Sasa kayapeleka.

Mkataba umebaki muda mfupi uishe ila Yanga imechelewa kumpa mkataba mpya mpaka hao wanaomrubuni wakamfata na kumpa ofa yao na Fei kuikubali.

Haya, ngoja tusubiri Yanga watasemaje kuhusu ombi la mchezaji la kuvunja mkataba maana mpaka sasa walichofanya ni kumwandikia barua wakimtaka arudi kambini.
 
Umeshajiuliza kwann Yanga wapo tayari kuboresha maslahi ya Fei iwapo yupo tayari na akiripoti kambini pamoja ya utoro na usumbufu alioufanya?

Kosa la viongozi ni moja tu, kuruhusu mkataba wa mchezaji aina ya fei kuwa na udhaifu na thamani ndogo.
Hakuna hela inatosha brother! Ata angekuwa analipwa Millio 10 bado ungefika wakati angehotaji zaidi kama kiwango chake akikiona ni bora.

Feisal alisaini mkataba wa miaka 4 Yanga, alisaini mwaka 2020 kuwa atalipwa milion 4, tuambie wewe kwa mwaka 2020 ungempa Feisal Million 15? Kama sasa kiwango chake anahisi kimekuwa sana, mbona simple tu angesubiri mkataba unaelekea mwishon angetingisha kiberiti kuwa hasaini mpaka mkataba uishe?
 
Muache tu dawa ya watu kama awa ni kuwakomesha tu, atakula jeuri yake, viongozi wa yanga wamekaa kimyaaa kama vile awaoni lakini kuna bomu wamemuandalia atafurahi mwenyewe acha aendelee kupuyanga na wajinga wenzake wanaomshauri na keshayakoroga atayanywa
Masikini Wana roho mbaya sana
 
Hakuna hela inatosha brother! Ata angekuwa analipwa Millio 10 bado ungefika wakati angehotaji zaidi kama kiwango chake akikiona ni bora.

Feisal alisaini mkataba wa miaka 4 Yanga, alisaini mwaka 2020 kuwa atalipwa milion 4, tuambie wewe kwa mwaka 2020 ungempa Feisal Million 15? Kama sasa kiwango chake anahisi kimekuwa sana, mbona simple tu angesubiri mkataba unaelekea mwishon angetingisha kiberiti kuwa hasaini mpaka mkataba uishe?
Unajua boss, Ukimlipa pesa nzuri na mkataba ukawa na thamani kubwa wenye vipengele vigumu unawapa wakati mgumu wapinzani kumshawishi sababu kumshawishi tu ni gharama achilia mbali gharama ya kuutikisa huo mkataba.

Mbona wasimfate Aziz K wampe pesa ya miezi 3 na signing fee adeposit?
 
Mkuu issue hapa ni nia, haijalishi unalipwa Tsh ngap! Kwani wenye mishahara mikubwa club zinazowataka hazivunji mikataba? Wanavunja vizuri tu
 
Hujajibu swali la kwanza. Kwann Yanga baada ya aliyoyafanya Fei wapo tayari kuboresha maslahi yake sasa? Unadhani hawaoni tatizo limeanzia kwenye mkataba usio fanana na thamani ya mchezaji?

Hayo ya kukaa mezani na Yanga ndicho anachofanya sasa hivi kupitia TFF, Amepeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba. Iwapo TFF itaruhusu, Yanga itakuwa kwenye mtego wa kusema alete kiasi gani na kwanini na hapo ndipo udhaifu ulipo. TFF isipo ruhusu itahalalisha sasa mchezaji kuwa na sababu ya kulalamika iwapo vipengele vya kuvunja mkataba vipo. Mwanzoni tatizo lilikuwa ni utaratibu, hajapeleka maombi, hajakaa na viongozi. Sasa kayapeleka.

Mkataba umebaki muda mfupi uishe ila Yanga imechelewa kumpa mkataba mpya mpaka hao wanaomrubuni wakamfata na kumpa ofa yao na Fei kuikubali.

Haya, ngoja tusubiri Yanga watasemaje kuhusu ombi la mchezaji la kuvunja mkataba maana mpaka sasa walichofanya ni kumwandikia barua wakimtaka arudi kambini.
Kama anazo sababu za msingi kulingana na muongozo wa fifa namna mkataba unaweza kuvunjika atasikilizwa lakini akija na sababu ambazo hazina mashiko kisheria bado yanga watamkatalia pia, kiufupi uyu dogo keshayakoroga na ana kiburi sasa yanga wanataka wamnyooshe vizuri na wanasheria wake wanaompotosha kupiga pesa yake,
 
Upo sawa sentensi za kwanza nakubali. Ila hiyo ya Yanga kutaka kumnyoosh nadhani ni ya kishabiki tu. Hakuna sehemu yoyote Yanga wameonyesha nia ya kutaka kumnyoosha zaidi ya kuonyesha nia ya kutaka kuboresha maslahi yake.
 
Hivi kwa kutumia tu akili kidogo unadhani yanga kama taasisi itatoka hadharani na kusema tunataka tumnyooshe..? Jibu ni hapan.....a lazima watasema tunamtaka arudi ili tumboreshee maslahi yake.
 
Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako?

Ulianza na wale wa Bernard Morrison.

Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa.

Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva.

Shtuka mdogo wangu, hao wote wanatambua kuwa hutoboi dhidi ya Yanga SC na ndio maana mwanasheria wako wa sasa hivi amekushauri ukavunje mkataba baada ya kusoma tu shauri lako na klabu yako. Ulikosea sana kufuata ushauri wa watu wasio fahamu mpira. Ona sasa hata hao nao wamekukimbia, wamebaki kukuungumza tu mitandaoni.

Kila mwenye akili anafamahu kabisa hauna msimamo bali una kiburi, hata viongozi wa klabu yako wanafahamu hilo. Ndio maana wanataka watoe fundisho kupitia wewe. Sio kwamba wana uhitaji na wewe sana bali hapana. Na viongozi wako pia wanafahamu kuwa wewe si wa kurudi pale hata wakamsajili Mudathir.

Kimsingi mwanasheria wako ndiye aliyekushauri ukaulizie gharama ya kuvunja mkataba na Yanga, na kwasababu ya jeuri yako ukaamua mupeleke maombi hayo kupitia TFF. Mdogo wangu viongozi wako wamepanga wavune Milioni 500 kutokana na kuvunja mkataba wako na wao. Wanafahamu wazi kuwa Azam FC ndio mabosi wako watarajiwa, wanafahamu kuwa boss wako atakusaidia tu.

Hata kama ikishindana wanakuvizia miezi 3 kabla ya mkataba wako na wao kutamatima, ili wakakufungulie kesi ya madai ya kwanini walikuwa wakikulipa mshahara na kazini hukuwa unaripoti. Wamepanga kuwa hawakuachi uondoke free (bure) hata kama ukiamua kukaa gheto ungoje tamati ya mkataba wako.

Kuna hati hati pia hata dirisha lijalo la usajili usisajiliwe na timu yeyote kwa kuwa bado utakuwa kwenye kesi ya madai na klabu yako.

Mdogo wangu hakuna mchezaji anayeweza kuvunja mkataba na klabu yake pasi na klabu kunufaika. Inawezekana tu kama ungekuwa Juma Makapu, Telela au crispin ngushi.

Waambie tu hao matajiri wa juisi wapeleke pesa tu pale avic town ili ucheze mpira msimu ujao.
Acheni tamaa ya pesa dogo kashasema hataki kuichezea yanga bado mnamlazimisha kwani gadiel miko na sure boy mlitoa bei gani kwa AZAM na wao wote walilazimisha kuondoka kama anavyofanya feisal sasa anakosa gani hapo mbona mnataka mumkomoe kijana kwa taarifa yako jasmine hajawahi kushindwa kesi yoyote inayohusiana na mambo ya mpira kwa wanasheria wenu wale vilaza pale yanga mapema tu mnapigwa knockouts
 
Hivi kwa kutumia tu akili kidogo unadhani yanga kama taasisi itatoka hadharani na kusema tunataka tumnyooshe..? Jibu ni hapan.....a lazima watasema tunamtaka arudi ili tumboreshee maslahi yake.
Boss kama hawajasema mm nimeuamua kutokufanya assumptions. Wigo wa assumption ni mpana na unaambatana na matamanio. Anaweza akarudi na wakafanya kama walivyosema. Akapewa mkataba na akacheza, assumption zikabaki kuwa matamanio ambayo hayakutokea.
 
Kimkataba chenyewe cha laki na nusu mnatusumbuuuu.a.Kila siku feisal feisal.
Million nne mchezaji mpira ni hela ndogo sana ila watu wautumishi watakuja kusema ni hela nyingi sana washazoea mishahara yao ya tgs C na D wakati mpira ni kazi ya mpito.
 
Aende wapi na wakati bado ana mkataba halali na Yanga mpaka 2024! Angeondoka wakati ule kabla ya kusaini huu mkataba wake mpya.

Kinyume na hapo, alitakiwa avumilie halafu mwakani angeondoka kama free agent.
Kwenye mkataba mpya aliosaini kuna kipingele alichoahidiwa kuongezewa mshahara na hilo halijafanyika feisal sio mjinga akurupuke tu kuvunja mkataba lazima kuna shida kama feisal kweli alikuwa anataka hela basi angeondoka kipindi kile cha bakuli licha ya team kibao kumtaka ila aliamua kubaki yanga fikiria vizuri usiangalie upande wa pesa tu.
 
Kuna mwamba anaitwa Wilson oruma naskia ndo wakala wake jamaa ni haipendi yanga yule[emoji23][emoji23][emoji23] basi hataki hata mchezaji akanyage pale , any way football ni biashara wamuache tu aende wavunje kikanuni
Feisal hana Agent anayetambulika na TFF.
 
Yanga SC hawana shida ya kuvunja mkaataba naye.

Swali ni Je! Gharama za kuvunja mkataba ataziweza?

Hapo sasa ndipo hofu ilipo.

Ninavyojua contract termination fee = Transfer fee ya mchezaji.
Acha uongo anatakiwa alipe mshahara wake mpaka mkataba unaisha hela yenyewe million nne hyo pesa ndogo kwa AZAM safari hii mmeyakanyaga.
 
Pamoja na utoro(miezi 3) Yanga inamuita na ipo tayari kuboresha maslahi yake iwapo ataridhia. Tafuta barua ya leo imeweka wazi anachokitaka Yanga kwa Fei. Hiyo sentensi ya mwisho ni kama inapingana na barua.

.

Yanga SC wammeandika tu lakkini wanafahamu tosha kuwa hawezi kurudi kuomba maboresho ya mkataba na Yanga.

Jifunze kusima maandashi katikati ya mstari.

Unadhani walimsajili Mudathir kwanini kama walitarajia Fei atarudi?
 
Acheni tamaa ya pesa dogo kashasema hataki kuichezea yanga bado mnamlazimisha kwani gadiel miko na sure boy mlitoa bei gani kwa AZAM na wao wote walilazimisha kuondoka kama anavyofanya feisal sasa anakosa gani hapo mbona mnataka mumkomoe kijana kwa taarifa yako jasmine hajawahi kushindwa kesi yoyote inayohusiana na mambo ya mpira kwa wanasheria wenu wale vilaza pale yanga mapema tu mnapigwa knockouts
Ficha ujinga wako kama ujui kitu funga kabati lako, uyo sure boy yanga walifata utaratibu wa kutaka kumsajili kwa kuwaandikia azam officialy but azam walikataa katakata kumuachia ikabidi Sure boy asubili mkataba wake uliokuwa umebakiza miezi 6 uishe ili aondoke bure na ndicho kilichotokea, yanga aikufanya uhuni kama huu aliotaka kufanya fei toto
 
Back
Top Bottom