mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Huyo kurudi ngumu sababu tayari ametengeneza uhasama na viongozi Cha msingi hapa namna ya kuvunja mkataba shida hataki kwenda sehemu husika Ili wazungumze auvunje wanataka kuvunja kwa social media sijuiYanga SC wammeandika tu lakkini wanafahamu tosha kuwa hawezi kurudi kuomba maboresho ya mkataba na Yanga.
Jifunze kusima maandashi katikati ya mstari.
Unadhani walimsajili Mudathir kwanini kama walitarajia Fei atarudi?