New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Kwani ni lini yanga ilienda TFF kushitaki kuhusu Feisal?Simba waliihandle vzr sana ile ishu na haikuwa na mjadala. Huenda sababu hawakumhitaji sana. Imagine Simba ingekimbilia TFF kama Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni lini yanga ilienda TFF kushitaki kuhusu Feisal?Simba waliihandle vzr sana ile ishu na haikuwa na mjadala. Huenda sababu hawakumhitaji sana. Imagine Simba ingekimbilia TFF kama Yanga.
Hakujipangia, termination fees inapangwa mwanzoni kabisa mwa mkataba kwa makubuliano kati ya mchezaji na club yake, usidhani feisali from no where aliamua kulipa hiyo 112M, kiuhalisia mkataba wa feisali ulishavunjika zamani ndio maana yanga hawana uwezo wa kumshitaki fei licha ya kua mtoro kwa miezi mitatu,TFF inamcheleweshea tu haki yake fei ili kutokuonyesha upendeleo.Kwa hiyo nani anapanga hela hiyo?
TFF?
au
Mchezaji?
Kumbuka mchezaji alikwisha jipangia pesa ya kuvunja(kununua) mkataba wake hapo awali, na TFF iyo iyo ikaamua kuwa hilo jambo halikuwa sahihi.
Swali kwako je yanga walimlipa kulingana na kipaji chake na uwezo wake uwanjani au kulingana na mkataba???Umeongea vema Mkuu
Mazwazwa wanakazania 100M aliyolipa kua ndio gharama pekee anayostahili kuirudisha yanga kwa kua ndio ilikua signing fee
Ila zile gharama za training facility, platform ya kuonyesha kipaji chake na mwalimu aliyemtengeneza mpaka kua mashuhuri wanajisahaulisha
Kuna mwamba aliwakumbusha kua kama Kuvunja mkataba ni rahisi kama kuvunja nazi, wamuambie mpiga kampeni wao Manzoki avunje huko alipo ili aje simba Sio kukomalia ya Feisal
Nadhani Yanga ndo walipeleka kesi TFF. Baadae Fei akaomba review kisha akapeleka maombi upya.Kwani ni lini yanga ilienda TFF kushitaki kuhusu Feisal?
Kama Yanga hawana uwezo wa kudai termination fee kubwa zaidi basi wanayo haki ya kuendelea kuheshimu mkataba wao na mchezaji. (ifahamike: contract termination is a mutual issue)Swali kwako je yanga walimlipa kulingana na kipaji chake na uwezo wake uwanjani au kulingana na mkataba???
Kama jibu lako ni mkataba, na hiyo termination fee ipo kwenye mkataba kwa yanga hawana uwezo wa kudai termination fee kubwa na wao wanabanwa na mkataba,
Sheria gani inasema unafukuzwa tu? Na unafikiri Yanga hawajui madhara ya kufukuza? Maana yake atakuja mwingine atakaa nje ya kituo miezi 3 halafu eti adhabu ni kufukuzwa. Kufukuzwa maana yake washakuruhusu uende ulipokuwa unataka. Sasa hafukuzwi mtu kijinga ila lazima awajibike kwa mkataba uliopo, akikataa Yanga hawalazimishwi kumfukuza leo mpaka siku wakijisikia kufanya hivyo na hata hiyo adhabu sio lazima waitoe leo, hata kukiwa kumebaki siku 3 mkataba uishe wanaweza kufanya hivyoNjia ipi? Kwa kawaida usipoonekana eneo la kazi yako kwa miezi 3 si unafukuzwa tu? Ila huyu imekuwa tofauti sababu anahitajika.
Mbona hana timu kama mkataba wake na Yanga ulishavunjikaHakujipangia, termination fees inapangwa mwanzoni kabisa mwa mkataba kwa makubuliano kati ya mchezaji na club yake, usidhani feisali from no where aliamua kulipa hiyo 112M, kiuhalisia mkataba wa feisali ulishavunjika zamani ndio maana yanga hawana uwezo wa kumshitaki fei licha ya kua mtoro kwa miezi mitatu,TFF inamcheleweshea tu haki yake fei ili kutokuonyesha upendeleo.
Yanga wanachoweza kupanga kwa sasa ni transfer fee endapo fei akiamua kurudi. Ila kuhusu termination fee hawawezi kupanga kwa sababu tayari ipo ndio maana wanakua wapole kwa fei licha ya kuwaonesha utovu wa nidhamu.
Tanzania kuna wajinga wengi sanaSheria gani inasema unafukuzwa tu? Na unafikiri Yanga hawajui madhara ya kufukuza? Maana yake atakuja mwingine atakaa nje ya kituo miezi 3 halafu eti adhabu ni kufukuzwa. Kufukuzwa maana yake washakuruhusu uende ulipokuwa unataka. Sasa hafukuzwi mtu kijinga ila lazima awajibike kwa mkataba uliopo, akikataa Yanga hawalazimishwi kumfukuza leo mpaka siku wakijisikia kufanya hivyo na hata hiyo adhabu sio lazima waitoe leo, hata kukiwa kumebaki siku 3 mkataba uishe wanaweza kufanya hivyo
Ameamua tu kwenda na flow kwa sababu tayari wamemuekea ugumu,Kama mkataba ulishavunjika sasa mbona amerudi tena TFF kuomba kuvunja tena mkataba?
Unadhani suala la kuvunja mkataba ni la kuamuliwa na upande mmoja? HAPANA si kweli.Ngoja Dogo awapelekee pumzi ya moto, mlidhani mmemkomesha? Sasa anakuja anataka kuvunja huo mkataba, kataeni tena
Tanzania kuna wajinga wengi sana
Upotee miezi mitatu alafu kirahisi mkataba uwe umevunjika ingekua ni hivyo huko ulaya wachezaji wangekua wanaingia mitin miezi mitatu alafu mkataba unakua umevunjika
Mfano harry kane alikua anataka kuondoka spurs basi angepotea miezi mitatu alafu mkataba wake uwe umevunjika kirahisi tu
Hii nchi ina mtaji mkubwa sana wa wajinga
Kwani sheria ipi inasema mtoro asifukuzwe? Yanga wakiamua kumfukuza Fei kwa utoro wanakatazwa?Sheria gani inasema unafukuzwa tu? Na unafikiri Yanga hawajui madhara ya kufukuza? Maana yake atakuja mwingine atakaa nje ya kituo miezi 3 halafu eti adhabu ni kufukuzwa. Kufukuzwa maana yake washakuruhusu uende ulipokuwa unataka. Sasa hafukuzwi mtu kijinga ila lazima awajibike kwa mkataba uliopo, akikataa Yanga hawalazimishwi kumfukuza leo mpaka siku wakijisikia kufanya hivyo na hata hiyo adhabu sio lazima waitoe leo, hata kukiwa kumebaki siku 3 mkataba uishe wanaweza kufanya hivyo
Termination fee ya harry kane ni kubwa wenzetu waliyajua haya mapema ndio maana ni vigumu kwao kuvunja mkataba kwa sababu zile hela za kuvunja hazilipiki, sasa mtu utamlipa 4M utegemee termination ya 1B jambo ambalo haliwezekani.Tanzania kuna wajinga wengi sana
Upotee miezi mitatu alafu kirahisi mkataba uwe umevunjika ingekua ni hivyo huko ulaya wachezaji wangekua wanaingia mitin miezi mitatu alafu mkataba unakua umevunjika
Mfano harry kane alikua anataka kuondoka spurs basi angepotea miezi mitatu alafu mkataba wake uwe umevunjika kirahisi tu
Hii nchi ina mtaji mkubwa sana wa wajinga
Kane akitaka kuvunja mkataba hawezi kuvunja yeye.Termination fee ya harry kane ni kubwa wenzetu waliyajua haya mapema ndio maana ni vigumu kwao kuvunja mkataba kwa sababu zile hela za kuvunja hazilipiki
Ni kwa sababu chombo kinahusika na kuthibitisha uhalali wa mikataba bado kinamkazia kinasema kua mkataba wake haujavunjika, ndio maana sasa akapeleka ombi kwenye hicho hicho chombo ili avunje mkatabaMbona hana timu kama mkataba wake na Yanga ulishavunjika
Ameambiwa aende akaonane na uongozi wampe terms za kuvunja mkatabaSwali kwako je yanga walimlipa kulingana na kipaji chake na uwezo wake uwanjani au kulingana na mkataba???
Kama jibu lako ni mkataba, na hiyo termination fee ipo kwenye mkataba kwa yanga hawana uwezo wa kudai termination fee kubwa na wao wanabanwa na mkataba,
Kitu kilichopo ndani ya uwezo wao ni kuamua transfer fee ikiwa feisali atabadili mawazo ya kuvunja mkataba na kurejea yanga.