Si nyinyi wenyewe ndio mlikuwa mkiimba mapambio ya kuwa Feisal yuko sahihi kuvunja mkataba wake?TFF walisema Jumatatu ya leo wangekuja na maelezo kamili kuhusu hili suala, vipi nyie utopolo, mmeshaona taarifa yoyote toka TFF mpaka jioni hii karibia na giza?
Halafu mkiambiwa mnabebwa hamtaki kuelewa, ni kelele tu mnazotupigia.
Yanga SC wameshika mpini hivi sasa.Muache tu dawa ya watu kama awa ni kuwakomesha tu, atakula jeuri yake, viongozi wa yanga wamekaa kimyaaa kama vile awaoni lakini kuna bomu wamemuandalia atafurahi mwenyewe acha aendelee kupuyanga na wajinga wenzake wanaomshauri na keshayakoroga atayanywa
Hata hivo young Africans wapo tayari kumuacha ila washauri wake wanaonekana Wana jeuri kama kuvunja mkataba njoo ofisini tunavunja kama kanuni inavyosema wao wanataka wavunjie mtandaoniMzee kwani si wamuache tu basi aende .
Haya ndiyo ha WCB na Harmonize! Unachukuliwa huko huna mbele wa nyuma, unakaa sehemu unapikwa kwa miaka 4, mwaka wa 5 unaanza kuwaka ila kufika mwaka 6 wa utumishi wako unapata chawa anakuambia pale hapakifai njoo huku! Huwazi hiyo miaka 4 ukiyopikwa, unavaa, unakula, unalipwa posho na vitu kibao kwamba vinahitajika kufidiwa! We unaamka tu mi nataka kutoka! Aisee! Embu rudisha ghalama zetu hakuna shortcut pale zaidi yanga lazima wakae then Yanga waseme kwakuwa anavunja mkataba kwa mapenz yake basi atulipe Million 500!.Mzee kwani si wamuache tu basi aende .
Pamoja na utoro(miezi 3) Yanga inamuita na ipo tayari kuboresha maslahi yake iwapo ataridhia. Tafuta barua ya leo imeweka wazi anachokitaka Yanga kwa Fei. Hiyo sentensi ya mwisho ni kama inapingana na barua.Yanga SC wameshika mpini hivi sasa.
Dogo mkataba wake unaisha May 2024.
Mtoto wa Bakhresa anaona kama mbali sana.
Pesa yote ya usajili msimu ujao inaishia kwa Mawakili na Wanasheria. Wanampiga pesa za kutosha hivi sasa. Mpaka akija kuamka atagundua kumekucha.
Yanga leaders want to set a good example right here!
Hiyo miezi 3 kulikuwa na kesi zinaendelea hivo sio rahisi kufanyakazi kwasasa.Pamoja na utoro(miezi 3) Yanga inamuita na ipo tayari kuboresha maslahi yake iwapo ataridhia. Tafuta barua ya leo imeweka wazi anachokitaka Yanga kwa Fei. Hiyo sentensi ya mwisho ni kama inapingana na barua.
Kutokuwepo kambini miezi 3 ni sababu tosha ya kumfukuza mchezaji, ila kwa Fei hali imekuwa tofauti sababu anahitajika.
Unadhani angekuwa haitajiki hata hiyo kesi ingekuwepo? Ungesikia tu kafukuzwa. Mkataba ule ule unaomlazimisha mchezaji arudi kambini haumlazimishi club kubaki na mchezaji.Hiyo miezi 3 kulikuwa na kesi zinaendelea hivo sio rahisi kufanyakazi kwasasa.
Of course Yanga hawajahi kusema hawamuhitaji Feisal ila unakumbuka alichokakifanya Dejan pale Simba? Unakumbuka Simba walisema watachukua hatua gan? Club yoyote haiwezi kukubali kudharauliwa! Atakama angekuwa haitajiki ila wasingeruhusu kufanyika kama aliyofanya Feisal, na ata angefanya akiwa haitajika angechukuliwa hatua pia.Unadhani angekuwa haitajiki hata hiyo kesi ingekuwepo? Ungesikia tu kafukuzwa. Mkataba ule ule unaomlazimisha mchezaji arudi kambini haumlazimishi club kubaki na mchezaji.
Simba waliihandle vzr sana ile ishu na haikuwa na mjadala. Huenda sababu hawakumhitaji sana. Imagine Simba ingekimbilia TFF kama Yanga.Of course Yanga hawajahi kusema hawamuhitaji Feisal ila unakumbuka alichokakifanya Dejan pale Simba? Unakumbuka Simba walisema watachukua hatua gan? Club yoyote haiwezi kukubali kudharauliwa! Atakama angekuwa haitajiki ila wasingeruhusu kufanyika kama aliyofanya Feisal, na ata angefanya akiwa haitajika angechukuliwa hatua pia.
Walienda vizur cos waliona walishindwa kutimiza makubali yakimkataba hivo wakaona ata wakienda TFF hawatoboi sababu yale yalikuwa na mahitaji muhimu wa walikubaliana wasipoyatekeleza automatic mkataba uankuwa terminated!Simba waliihandle vzr sana ile ishu na haikuwa na mjadala. Huenda sababu hawakumhitaji sana. Imagine Simba ingekimbilia TFF kama Yanga. Kwangu mm naona Yanga itadharaulika iwapo Fei hatoripoti na wakalazimika kuvunja nae mkataba bila yeye kuwepo kambini.
Umeshajiuliza kwann Yanga wapo tayari kuboresha maslahi ya Fei iwapo yupo tayari na akiripoti kambini pamoja ya utoro na usumbufu alioufanya?Walienda vizur cos waliona walishindwa kutimiza makubali yakimkataba hivo wakaona ata wakienda TFF hawatoboi sababu yale yalikuwa na mahitaji muhimu wa walikubaliana wasipoyatekeleza automatic mkataba uankuwa terminated!
Sasa we umesiki hitaji gani la kimkataba Feisal anadai hajatimiziwa na Club?
Hata unachoandika hukijui na mpira si ajabu hujui nenda kacheze taarabu.Ngoja Dogo awapelekee pumzi ya moto, mlidhani mmemkomesha? Sasa anakuja anataka kuvunja huo mkataba, kataeni tena
kumfukuza? wakati kuna njia ya kumuadhibu!Pamoja na utoro(miezi 3) Yanga inamuita na ipo tayari kuboresha maslahi yake iwapo ataridhia. Tafuta barua ya leo imeweka wazi anachokitaka Yanga kwa Fei. Hiyo sentensi ya mwisho ni kama inapingana na barua.
Kutokuwepo kambini miezi 3 ni sababu tosha ya kumfukuza mchezaji, ila kwa Fei hali imekuwa tofauti sababu anahitajika.
Njia ipi? Kwa kawaida usipoonekana eneo la kazi yako kwa miezi 3 si unafukuzwa tu? Ila huyu imekuwa tofauti sababu anahitajika.kumfukuza? wakati kuna njia ya kumuadhibu!
Udhaifu upi uliopo kwenye mkataba wa fei ebu tuambie? Kama mkataba wake una thamani ndogo kwanini anakwepa kwenda kukaa mezani na yanga wamwambie wanataka bei gani za kuuvunja huo mkataba? Anajua atatajiwa dau kubwa ambalo wanaomrubuni walitaka wampate kwa gharama ndogo ndio maana wakafanya uhuni waliotaka kuufanya wakagonga mwambaUmeshajiuliza kwann Yanga wapo tayari kuboresha maslahi ya Fei iwapo yupo tayari na akiripoti kambini pamoja ya utoro na usumbufu alioufanya?
Kosa la viongozi ni moja tu, kuruhusu mkataba wa mchezaji aina ya fei kuwa na udhaifu na thamani ndogo.