Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

Feisala Salum Shtuka Mapema Mdogo wangu!

Kwani sheria ipi inasema mtoro asifukuzwe? Yanga wakiamua kumfukuza Fei kwa utoro wanakatazwa?
ni sheria ipi ya mpira wa miguu (ukiachana na zile za TAMISEMI)inayosema mchezaji afukuzwe kwa utoro?

Hebu tuonyeshe ushahidi wa hiyo sheria.
 
Ni kwa sababu chombo kinahusika na kuthibitisha uhalali wa mikataba bado kinamkazia kinasema kua mkataba wake haujavunjika, ndio maana sasa akapeleka ombi kwenye hicho hicho chombo ili avunje mkataba

Kwa hiyo tuamini "UAMUZI" wa chombo kinachoendesha mpira wa miguu au Tukuamini "WEWE"...?
 
Kane akitaka kuvunja mkataba hawezi kuvunja yeye.

Yeye atapewa pesa za kuvunja mkataba na timu inayo mtaka.

Kama vile Neymar alivyopewa pesa na PSG ya kuvunja mkataba wake na Barcelona.
Hawezi kuvunja yeye kwa sababu ni hela nyingi , Psg walifanya vile kwa neymar kwa sababu walibanwa na financial fair play ili kua haiwaruhusu kutumia hela nyingi kiasi kile ndio maana wakatumia option hiyo ili avunje mkataba.
 
Tanzania kuna wajinga wengi sana
Upotee miezi mitatu alafu kirahisi mkataba uwe umevunjika ingekua ni hivyo huko ulaya wachezaji wangekua wanaingia mitin miezi mitatu alafu mkataba unakua umevunjika

Mfano harry kane alikua anataka kuondoka spurs basi angepotea miezi mitatu alafu mkataba wake uwe umevunjika kirahisi tu
Hii nchi ina mtaji mkubwa sana wa wajinga
Kuna wapumbavu wengi sana katika jamii yetu
Haishangazi kwa nini ni masikini wa kutupwa
 
ni sheria ipi ya mpira wa miguu (ukiachana na zile za TAMISEMI)inayosema mchezaji afukuzwe kwa utoro?

Hebu tuonyeshe ushahidi wa hiyo sheria.
Na mm nikakuuliza ni sheria ipi inayokataza kufukuza mtoro? Yanga wakiamua kumfukuza Fei kwa utoro anakatazwa? Nakuuliza kwa sababu nakumbuka nimesema kwa kawaida mtoro anafukuzwa sijasema sheria inasema mtoro afukuzwe sasa haya mambo ya vifungu vya sheria kama umeyaleta sababu nimesema ni kawaida kufukuza mtoro wewe ndo uniambie ni sheria ipi inakataza kufukuza mtoro.
 
kesi ya msuva inafanana vipi na ya fei? msuvaalikuwa halipwi mshahara wakati fei analipwa na yeye ndio kakimbia na mshahara wa watu. Igeuze msuva ndio yanga, fei ndio waydAd
Inafanana kwasababu wote walikuwa na mikataba na team zao ila club zinagoma kuwaachia wakati wachezaji wanataka kuondoka same to feisal haijalishi nani anataka kuvunja mkataba.
 
Shtuka mdogo wangu, hao wote wanatambua kuwa hutoboi dhidi ya Yanga SC na ndio maana mwanasheria wako wa sasa hivi amekushauri ukavunje mkataba baada ya kusoma tu shauri lako na klabu yako. Ulikosea sana kufuata ushauri wa watu wasio fahamu mpira. Ona sasa hata hao nao wamekukimbia, wamebaki kukuungumza tu mitandaoni.
Kijana alikosea ni vyema akayajenge tu na aondoke kwa kufuata utaratibu.
 
Hakujipangia, termination fees inapangwa mwanzoni kabisa mwa mkataba kwa makubuliano kati ya mchezaji na club yake, usidhani feisali from no where aliamua kulipa hiyo 112M, kiuhalisia mkataba wa feisali ulishavunjika zamani ndio maana yanga hawana uwezo wa kumshitaki fei licha ya kua mtoro kwa miezi mitatu,TFF inamcheleweshea tu haki yake fei ili kutokuonyesha upendeleo.

Yanga wanachoweza kupanga kwa sasa ni transfer fee endapo fei akiamua kurudi. Ila kuhusu termination fee hawawezi kupanga kwa sababu tayari ipo ndio maana wanakua wapole kwa fei licha ya kuwaonesha utovu wa nidhamu.
Wewe ni tutusa
 
Ameambiwa aende akaonane na uongozi wampe terms za kuvunja mkataba
Ngonjera na vilio vyote vya nini sasa
Hakuna terms mpya za kuvunja mkataba, terms za kuvunja mkataba uwa zinawekwa mwanzoni kabisa mkataba ukiwa una sainiwa,kwa hela atarudi mule mule kulipa hela ile waliyomrudishia labda wakimpiga na fine kidogo ya kua mtoro kwa miezi mitatu.
 
Kesi ya athuman iddi chuji, kelvin yondani, mbuyu twite, na ramadhan kessy hizi kesi zote ni za kimkataba na Yanga walishinda, nadhani hiki kipindi ulikua bado hujaanza kushabikia mpira
Pumbavu hujui hata unachokiongea ulivyotaja jina la hasan kessi nikajua ndio wale wale tunarudi pale pale wenye akili ni wawili tu kama sio uungwana wa simba huyo kessi asingekuwepo kwenye ramani ya soka ila simba wazungu wa nafsi sio kama yanga wanakomoa wachezaji hujui unachokiongea yaani umekurupuka kajipange tena
 
Kama ilikuwa ni njia halali ya kuvunja mkataba mbona TFF wamempinga na kuamua kuwa hawezi vunja mkataba kwa njia ile?
TFF ukiwa na hela yako unashinda kesi yoyote hukumsikia yule mmiliki wa gwambina alivyoongea kuhusu TFF w wale wananuka njaa ni hela yako sasa feisal anahela za kuizidi yanga kuhonga mbona unaongea kama mgeni wa soka la bongo
 
Kama Yanga hawana uwezo wa kudai termination fee kubwa zaidi basi wanayo haki ya kuendelea kuheshimu mkataba wao na mchezaji. (ifahamike: contract termination is a mutual issue)

Bila kujali mchezaji atatumikia klabu au hata itumikia klabu mpaka May 2024.
Contract termination sio lazima ziwe mutual, fanya research yako vizuri rafiki.
 
Amini unacho ona ni sahihi kwako watu wote tumepewa free will.
mbona makasiriko sasa?

nimeuliza swali jepesi.....

Kama TFF ndio imetoa hukumu ya kuwa feisal ako na mkataba halali na yanga ssc. na wewe unadai kuwa TFF wamekosea.

je tumuamini nani sasa? WEWE au TFF?
 
Wanasema miezi 3 kutokuwa kazini inatosha kumfanya afukuzwe.

Inafaa adhabu ya faini. PSG hawawezi kumfukuza Mbappe eti kwa sababbu hajahudhuria ofisini siku 3.
Kwaiyo katika hiyo miezi 3 kesi unahesabia sikuzake au unaziacha?
 
Contract termination sio lazima ziwe mutual, fanya research yako vizuri rafiki.
Contract termination sio lazima ziwe mutual, fanya research yako vizuri rafiki.
Katika shauri la kwanza la feisal alilopeleka TFF ni kuomba status yake ya mkataba wake na yanga sc ipitiwe.

je alikuwa sahihi kuvunja mkataba pasi na upande wa pili (yanga sc) kuafiki, kwanini TFF hawajabariki usitishaji wake wa mkataba?
 
Inafanana kwasababu wote walikuwa na mikataba na team zao ila club zinagoma kuwaachia wakati wachezaji wanataka kuondoka same to feisal haijalishi nani anataka kuvunja mkataba.
Msuva alikuambia anataka kuondoka aende timu gani?
 
Back
Top Bottom