Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mantiki iyo unataka kuuaminisha UMMA wa wana JF kuwa.TFF ukiwa na hela yako unashinda kesi yoyote hukumsikia yule mmiliki wa gwambina alivyoongea kuhusu TFF w wale wananuka njaa ni hela yako sasa feisal anahela za kuizidi yanga kuhonga mbona unaongea kama mgeni wa soka la bongo
Kwa majibu ya sheria za FIFA,sio sahii, sheria inasema katikati ya msimu mchezaji ataruhusiwa kuvunja mkataba bila mutual agreements. Na kama akivunja bila mutual agreements imeweka bayana consequences zake ambazo niKatika shauri la kwanza la feisal alilopeleka TFF ni kuomba status yake ya mkataba wake na yanga sc ipitiwe.
je alikuwa sahihi kuvunja mkataba pasi na upande wa pili (yanga sc) kuafiki, kwanini TFF hawajabariki usitishaji wake wa mkataba?
ni sheria za TAMISEMI pekee zinazo toa mwanya kwa halmashauri kufukuza watoro walio ajiriwa na serikali katka kada mbalimbali.Na mm nikakuuliza ni sheria ipi inayokataza kufukuza mtoro?
Kwani aliyeleta masuala ya sheria si ni ww? Kama hujawahi kuiona kwann umeileta? Mm nilidhani kuna sheria inayopingana na nilichosema kuwa mtoro ni wa kufukuzwa. Hakuna sehemu nimesema sheria inalazimisha mtoro afukuzwe.ni sheria za TAMISEMI pekee zinazo toa mwanya kwa halmashauri kufukuza watoro walio ajiriwa na serikali katka kada mbalimbali.
Katika mpira wa miguu sijawahi kuona sheria hii pahala popote wala sijawahi kusikia mchezaji amefukuzwa kwa utoro.
Labda uje na mfano wa mchezaji aliye fukuzwa kwa utoro pengine wanajamvi watakuelewa.
Sina makasiriko yoyote mkuu,nimekupa option ya kuchagua utachokachopenda kuamini.mbona makasiriko sasa?
nimeuliza swali jepesi.....
Kama TFF ndio imetoa hukumu ya kuwa feisal ako na mkataba halali na yanga ssc. na wewe unadai kuwa TFF wamekosea.
je tumuamini nani sasa? WEWE au TFF?
Kwa majibu ya sheria za FIFA,sio sahii, sheria inasema katikati ya msimu mchezaji ataruhusiwa kuvunja mkataba bila mutual agreements. Na kama akivunja bila mutual agreements imeweka bayana consequences zake ambazo ni
1.kupigwa fine
2.kufungiwa
Au vyote kwa pamoja.
Nani aliyesema mchezaji akiwa mtoro siku 3 basi afukuzwe? Si ni wewe?Kwani aliyeleta masuala ya sheria si ni ww? Kama hujawahi kuiona kwann umeileta? Mm nilidhani kuna sheria inayopingana na nilichosema kuwa mtoro ni wa kufukuzwa. Hakuna sehemu nimesema sheria inalazimisha mtoro afukuzwe.
Mkuu,fikiria vizuri halafu ucomment tena.ataruhusiwa kuvunja mkataba bila maafikiano na muajiri wake. na kama akivunja bila maafikiano basi atakumbana na adhabu.
je wewe umeelewa ulicho kiandika? 😁😁😁😁
Duh aisee wewe ni noma sana.Sina makasiriko yoyote mkuu,nimekupa option ya kuchagua utachokachopenda kuamini.
Embu rudi soma. Ts either hukuelewa au unajibu kwa haraka sana. Halafu japo hicho unachosema nimesema sio sahihi still umesahau kuonyesha sheria imeingiaje kwenye hiyo sentensi.Nani aliyesema mchezaji akiwa mtoro siku 3 basi afukuzwe? Si ni wewe?
Nika kwambia mpira wa miguu sio TAMISEMI, huku awafukuzagi ovyo ovyo. umeona wapi duaniani mchezaji anafukuzwa kisa ajafika pahala pake pa kazi kwa siku 3?
Kwa mujibu wako ni sawa mkuu.Duh aisee wewe ni noma sana.
yani umenipa hadi option ya aidha kukuchagua wewe au TFF>😁😁
kwamba unadhani kuna mtu anaweza akaacha kuamini chombo kinacho tambulika na FIFA akaja kuamini unachosema wewe...
Sheria zote ndio zipo hivyo zinakukutaza kufanya,na zinakupa hasara/adhabu kama ukifanya/kuvunja hiyo sheria.umekosea kuwasilisha hoja yako hebu ipitie vyema.
Pale punguwani anapojiona ana akili sana kuliko mwenye utimamu wa akili kichwani [emoji23]Una mihemko kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwani ziro🫣🫣🫣
E bhana kinyundo [emoji375] [emoji28]Huna Unachokijua Wewe Paka, Kwenye Ishu Ya Morrison Na Yanga TFF Walikuwa Wazuri Sana Kwenu Kisa Yanga ilishindwa Kesi Lakini Leo Kwenye Kesi Hii Ushindi Upo Kwa Yanga Mnajifanya Eti TFF Wanapendelea….PUMBAVU KABISA KOLO WAHEEED!
Sasa unamuuliza nani? Hilo ni jibu la swaliKwani sheria ipi inasema mtoro asifukuzwe? Yanga wakiamua kumfukuza Fei kwa utoro wanakatazwa?
Kamuangalie chama amefunga kipa kwa tobo halafu tutadiscuss baadae.Sasa unamuuliza nani? Hilo ni jibu la swali
TFF kamwe haihusiki na uvunjaji wa mkataba kazi yao ni kuangalai uhalali wa mkataba kama hilo uliku hulijuiNi kwa sababu chombo kinahusika na kuthibitisha uhalali wa mikataba bado kinamkazia kinasema kua mkataba wake haujavunjika, ndio maana sasa akapeleka ombi kwenye hicho hicho chombo ili avunje mkataba
Mtu anaongea kwa hisia na sio uhalisiaKuna wapumbavu wengi sana katika jamii yetu
Haishangazi kwa nini ni masikini wa kutupwa