Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
TayariWana mdangaji huyo jamaa… anaweza kujimaliza kimchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TayariWana mdangaji huyo jamaa… anaweza kujimaliza kimchezo
Walizingua from day 1.. na baada ya kutafuta public sympathy kushindikana basi anaendelea kupuyangaNaona wanasheria wake pumzi zimekata kitambo. Badala yake mnaanza sasa kutaka kumtafuta mchawi! Kumbe nyingi wapambe wake ndiyo wachawi namba moja.
🤣🤣🤣🤣ulitakaje?TFF NA CCM NI NDUGU
Safi Yanga waendelee kushikiria hapo hapo na waendelee kumlipa mshahara hadi mkataba wake uishe na wala wasimshitaki kwa kukiuka mkataba ili ifike hiyo 2024. Kiburi si maungwana na tumeona hata Ulaya mchezaji anasusa kwa kubip Ila mwisho anarudi mwenyewe. Sasa Totooo anajifanya hard head.Hili sakata la Feitoto nadhani sasa lifike mwisho maana linazunguka hapo hapo kila siku na Fei anajifanya kichwa ngumu.
Elimu elimu elimu, kama hiyo haki usiyotendewa mbona huisemi.Sheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
UTO mara zote vichwani mwenu ni weupe sana. nilichoandika mimi ukilinganisha na hizi ngonjela zako za elimu, elimu, elimu! ni tofauti kabisaElimu elimu elimu, kama hiyo haki usiyotendewa mbona huisemi.
Kuna mtu aliandika humu JF kuwa hiyo ni kwa sababu ya shuleless! Niliceka sana lakini nadhani mwandishi huo alikuwa sahihi. Mtu mwenye akili ya kuona mambo utdanganywa na wewe ukaingia mzima mzima. Sasa hivi hata anaona aibu kwenda kuongea na Yanga, ndiyo maana TFF inapomwambia arudi akaongee na Yanga, yeye anapindisha kuwa TFF inamlazimisha kuendelea kuchezea Yanga!Duh huyo kijana mshauri wake hakumtendea haki
Kwenda hijja na kuishia la Saba kunahusiana nini na suala hili la mkataba wa kucheza mpira!?..nyi wangese chuki za kidini zinawazunguka tu vifuani!!Jamaa mwenyewe kaishia sjui la Saba kila sku kwenda kuhiji , akacheze dondo
Mkataba unavunjwa mda wowote kaka lkn pawe na makubaliano ya pande zote!Sheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
Yaani uvunje mkataba ukijisikia tu!!..wakati timu za kandanda ni mfumo ambao ukitoa kipuli kimoja unauvurugaSheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
Nakubali mwaisaKwenda hijja na kuishia la Saba kunahusiana nini na suala hili la mkataba wa kucheza mpira!?..nyi wangese chuki za kidini zinawazunguka tu vifuani!!
Mkuu mkataba gani huo unavunjwa tu mpaka mkubaliane ???Mkataba unavunjwa mda wowote kaka lkn pawe na makubaliano ya pande zote!
Anachokosea feisal ni kutaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu tu na ndo mgogoro wote unaoendelea
Unaweza ila consequences zake ndio shida.Yaani uvunje mkataba ukijisikia tu!!..wakati timu za kandanda ni mfumo ambao ukitoa kipuli kimoja unauvuruga
Binafsi sio mbobevu sana wa sheria lkn nina uelewa Kwa kiasi Fulani:Mkuu mkataba gani huo unavunjwa tu mpaka mkubaliane ???
Hiyo ipo lakini unilateral termination ipo pia ila fidia inahusika
Mkuu unilateral termination ipo iwe na sababu au kusiwe na sababuBinafsi sio mbobevu sana wa sheria lkn nina uelewa Kwa kiasi Fulani:
Kwenye unilateral termination katika mpira inaweza kufanyika lakini lazima pawepo na sababu ambazo zimeorodheshwa kwenye sheria za FIFA