inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndiyo kushindikana kwenyeweUnaweza ila consequences zake ndio shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kushindikana kwenyeweUnaweza ila consequences zake ndio shida.
We jamaa ni mzima kichwani lkn? Hakuna hiko kitu kwenye mpira yaani ujivunjie tu mkataba tena Katikati ya msimu?Mkuu unilateral termination ipo iwe na sababu au kusiwe na sababu
Sasa si uende ukasimamie hio kesi upige mpungaMkuu unilateral termination ipo iwe na sababu au kusiwe na sababu
SawaWe jamaa ni mzika kichwani lkn? Hakuna hiko kitu kwenye mpira yaani ujivunjie tu mkataba tena Katikati ya msimu?
Hapo ni hizo danadana za TFF tuSasa si uende ukasimamie hio kesi upige mpunga
Ruksa kuvunja mkataba ila kwa kufuata utaratibu ulioweka. Huo utaratibu ndio Fei hataki kuufuata.Sheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
Wachezaji waogope kuichezea Yanga sababu ya upumbavu wa Feisal?Siyo vibaya akaenda kuongea na has Young African kujua cost za kuvunja mkataba. He can negotiate terms za kuvunja huu mkataba. We will then know kama wako serious au wanataka kumkomoa. Kwa club, if you have shown your true colours. All forthcoming players will be worried with your contracts. Value of the play continues to diminish slowly.
Dasa mbona unamuacha Feisal anahangaika wakati una uwezo wa kumsaidia pia wewe ukajipugia hela nzuri tu!?Mkuu unilateral termination ipo iwe na sababu au kusiwe na sababu
Kwani hao TFF hawajui ?Dasa mbona unamuacha Feisal anahangaika wakati una uwezo wa kumsaidia pia wewe ukajipugia hela nzuri tu!?
Hawajui, nenda kamsaidie. Maana alianza kwenda na mawakili, sasa hivi anaenda na bodaboda wake na baba yake, wale mawakili hatuwaoni tenaKwani hao TFF hawajui ?
Umesoma options ambazo Yanga wamempa Toto?Sheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
Afu atasema karogwa na YangaUbaya ni kwamba, kuna siku ataanza kulalama kuwa amerogwa
Kila mkataba unakuwa na taratibu za kufuata kama upande mmoja unataka kuuvunja, iwe kwenye mpira, kazi, ndoa, etc..!! Tatizo kuna watu mnamdanganya Fei. Na ndiyo maana amekwama hadi sasa. Yaani pamoja kuwa na wanasheria, wachambuzi mashabiki maandazi, bado keshaambiwa wazi kuwa akae mezani na Yanga au asubiri muda wa mkataba uishe..!!Sheria za mpira wakati fulani ni za kikatili sana... inamaana ukishaingia mkataba na timu hakuna namna tena ya kuvunja mkataba hata kama hutendewi mema au hujapenda mazingira ya timu..... au kwa sababu ya TFF imejaa uoga inapokabiliana na yunga..
Kamsaidia kwenda CAS, Feisal na wana sheria wake ukiwepo na wewe hapo mnapoteza muda sana kuangaika na TFF. Kama mnaona kuna uonevu basi ni vyema mkaenda ngazi za juuHapo ni hizo danadana za TFF tu