Feitoto ana gundu kuachwa tena Stars?

Hi point. Sna hi kina jemedari watamsakama kocha utaona
 
Afanye juhudi tu,bado kijana atachukuliwa akiongeza juhudi. Alipotez touch kukaa nje ya uwanja siku nyingi.
Hongera japo mpigie simu ustadhi mwezako mweleze haya haya unacho unga mkono hapa
 
Kumbuka kuwa radi haipigi mara mbili! Kiwango cha Feisal Yanga jhakikuchangiwa na kipaji chake binafsi tu bali ile training nzuri aliyokuwa anapata kule Yanga ndiyo iliyompaisha; training hiyo haipatikani hapo Azam.
Basi tutawaambia azam wamchukuwe Nabi aendeleze "training".
 
Basi tutawaambia azam wamchukuwe Nabi aendeleze "training".
Training ya timu siyo kazi ya mtu mmoja, bali ni teamwork. Inabidi Azam wasuke timu nzuri ya Training, siyo kuokoteza okoteza kama walivyookwota huyo fei toto.
 
Simba na yanga ni madrid na Barcelona za Tanzania,........ Tafakari!!!!! mengine utajiongeza sio lazima kila kitu ufundishwe kwenye hii dunia.
 
Wengi tulishajua tu huyu dogo amepotea njia kwenda Azam, kama alivyofanya mwenzake Ramadhan Singano na Sopu! Tamaa ya fedha imewasababishia kuua viwango vyao.
Hata mimi bora kiwango kife tu, mshahara wa mil4 kwa kiwango kile ni uhuni tu
 
Kumbuka kuwa radi haipigi mara mbili! Kiwango cha Feisal Yanga jhakikuchangiwa na kipaji chake binafsi tu bali ile training nzuri aliyokuwa anapata kule Yanga ndiyo iliyompaisha; training hiyo haipatikani hapo Azam.
Hizo Training mbona zimeshindwa kumuinua Zawadi Mauya?
 
Training ya timu siyo kazi ya mtu mmoja, bali ni teamwork. Inabidi Azam wasuke timu nzuri ya Training, siyo kuokoteza okoteza kama walivyookwota huyo fei toto.
Itumieni hiyo kumuibua Mkude
 
Pole yake njia aliyoichagua inagharama ndicho kinachotokea pale Azam hatapata changamoto yoyote naona kipaji chake kikiendelea kuporomoka alifikiri atapata furaha ila imekuwa kinyume chake
 
Kumbe ndo maana GENTAMYCINE kazira kuishabikia Taifa Stars

Aahaaaaaa

Kisa baba Estar na Zimbwe wameachwa
Mbavu za Simba ni uchochoro for now, Huwa hawajitumi Taifa Stars, mjadala wao umefungwa!

Feitoto kurudi Stars ni majaaliwa, ishu ni namna anacheza Azam. Akiwa Yanga mfumo wa uchezaji wa timu ya Yanga ulimpa nafasi ya kuonesha kipaji chake, hilo halipo Azam! But I believe one day atarudi Stars ila sio Leo mpaka aombe msamaha wazee, mashabiki na viongozi wa Yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…