Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

Azam waache kujificha kwenye magodauni ya ukwaju waje mezani wamchukue mchezaji kwa utaratibu la sivyo huyu dogo anaenda potea.

Dogo Feisal alijua pale ni ndondo cup unachukua Hela alafu unarudisha unaenda timu nyingine😂😂😂
eti magodown ya ukwaju, sio kila kitu na msemo no Cha kuiga kukisema hayo magodown ya ukwaju yanalisha na kunywesha ukoo wako wote na wewe tena mkiishi NYC.
 
eti magodown ya ukwaju, sio kila kitu na msemo no Cha kuiga kukisema hayo magodown ya ukwaju yanalisha na kunywesha ukoo wako wote na wewe tena mkiishi NYC.
Huo ni msemo tu hata haujamaanisha dharau yoyote ila ni kunogesha uandishi tu .
 
Kama ni wakili wake na anaona feitoto hajatendewa haki akate rufaa vinginevyo watakuwa hajamshauri vizuri mteja wao
Amemshauri aache mahaba, au siyo ushauri mzuri? Kumbuka huyo ni Wakili Msomaji ahh sory Msomi.
 
Yaani unazijua za mchezaji ila za club huzijui, wakati contract ni mutual agreement kati ya club na mchezaji.
Mkuu siko hapa kushupaza shingo ilimradi tubishane,nimesema tujuze,kama huwezi basi endelea na mengine.Hakuna kombe la ubishani.
 
Ok
 
Dogo wanam-mislead sana,,cha kuangalia ni mkataba unasema nini?,,,,sheria na taratibu zote ziko vipi?
 
Mkuu siko hapa kushupaza shingo ilimradi tubishane,nimesema tujuze,kama huwezi basi endelea na mengine.Hakuna kombe la ubishani.
Ushupaze kichwa mara ngapi?Najua mnaleta ushabiki mpaka kwenye maswala ya kisheria kisa ww Kolo.

"The Clubs

Clubs, you would think, have a certain amount of say in each deal. After all, they hold the registration to the player and can simply refuse to sell him if they are not in agreement with any offer made. "

Haya pdf hiyo kasome.
 
Huyo Wakili wa Feisal ni Wakili kweli au Sheha?🤣🤣
 
YANGA IACHANE NAYE KIROHO SAFI TU, FEITOTO HANA TENA HAMU, MAHABA NA GUTS YA KUICHEZEA YANGA, IMUACHIE ISIMKOMOE TUTAMUHITAJI KWENYE TIMU YA TAIFA.
 
YANGA IACHANE NAYE KIROHO SAFI TU, FEITOTO HANA TENA HAMU, MAHABA NA GUTS YA KUICHEZEA YANGA, IMUACHIE ISIMKOMOE TUTAMUHITAJI KWENYE TIMU YA TAIFA.
Itaachana naye pale atakapoacha kufanya uhuni na kuanza kufwata taratibu zinazotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…