Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

Wachukue mpunga upi labda? Kwani wanaomtaka washatuma ofa yao? Au unasemea mpunga upi? Tunachojua hao wahuni waliomuingiza chaka washaogopa ata kunusa pua zao pale jangwani kwakuwa washachafua hali ya hewa wanajua ata wakienda awatouziwa uyo feisal labda klabu toka nje ya nchi ndio imnunue na sio wahuni wahuni waliomvuruga kijana

Ngoja aende cas,muone mtaambulia nini?
 
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports
Na sisi Yanga sc tunasema hatuna kabisa mahaba naye, nadhani ujumbe wa salamu zetu anao.
 
huyo wakili nimemsikia ni wazi kabisa anampotosha mteja wake,kwanza kasema amepokea uamuzi kwa taharuki,very unprofessional kabisa kutumia neno hilo kuelezea hukumu,pili anafanya kama kulaumu kwa kamati kutoa sumnary ya hukumu,kitu ambacho ni kawaida kabisa,tatu anasema anashangaa kwa kamati kuamua fei arudi yanga kwani yeye hana mapenzi na yanga,fei ni mchezaji wa yanga na kama hana tena mapenzi na yanga afuate utaratibu kuuvunja mkataba na hivyo ndio wakili wake anapashwa kumuelekeza sio kumpotosha
Hata mimi nimesikia huyo Wakili, nadhani huyo ni "Bush Lawyer"
 
Vipi kama ingetokea Yanga ikawa haimuhitaji huyo Fei Toto! Wangekuwa sahihi kumuwekea hela kwenye akaunti yake ya benki, halafu viongozi wakajitokeza hadharani na kusema wamevunja mkataba na huyo mchezaji! kwa kumwekea hela yake kwenye akaunti, kisa tu hawana mahaba naye; hata kama anahitajika bado kwenye timu?

Au wangekaa mezani na kufikia muafaka wa pande mbili, wa kusitisha huo mkataba wao walioingia kwa pamoja?

Naomba majibu tafadhali.
Matutusa hawawezi kukujibu. Haya matutusa SC Feisal Ana mahaba nanyi case closed
 
SIMBA TUMEAMKA DUBAI
YANGA WAMEAMKIA MANZESE UWANJA WA FISI
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mmebebeshwa Ngada a.k.a Sembe, tusubiri mkirudi tuone Kama hamjagongwa. Kanjibahi anawachezea tu
 
Kama mwanadamu aibu nilazima iwepo na pia ukitama ile video ya mashabiki wa Yanga baada ya Mechi ya Azam waki imba kama hamtaki fei...

Huja kaa sawa una sikia kauli kutoka kwa mashabiki zikisema Fei ana ihujumu timu..

Unarudi unaona kwenye timu wachezaji wenzio walivyo lichukulia swala lako wanaona nikama unataka kuivuruga Yanga

Nikitudi namuelewa sana FEI akisema harudi
Nikweli ana hitaji mtu wa kumpa msaada wa kisaikolojia Zaidi..ili aweze kurudi uwanjani.....!!!!

La sivyo asipo kuwa makini kuchukua maamuzi sahihi hili swara lita mwaribu yeye na sio club..Afanye maamuzi muda huu
Utopolo ndo wanamngangania Fei
 
Wachukue mpunga upi labda? Kwani wanaomtaka washatuma ofa yao? Au unasemea mpunga upi? Tunachojua hao wahuni waliomuingiza chaka washaogopa ata kunusa pua zao pale jangwani kwakuwa washachafua hali ya hewa wanajua ata wakienda awatouziwa uyo feisal labda klabu toka nje ya nchi ndio imnunue na sio wahuni wahuni waliomvuruga kijana
Yanga ndo mahuni yaliwalagai kina yondani
 
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports
Hana mahaba ila ana mkataba. Tuache hoja zisizo mashiko, mikia wamegeuka wasemaji wa Feisal. Mchezaji hachezi kwa mahaba bali mkataba, tusiwe taifa la mambumbumbu. Tanzania inahitaji elimu, elimu, elimu.
 
Back
Top Bottom