huyo wakili nimemsikia ni wazi kabisa anampotosha mteja wake,kwanza kasema amepokea uamuzi kwa taharuki,very unprofessional kabisa kutumia neno hilo kuelezea hukumu,pili anafanya kama kulaumu kwa kamati kutoa sumnary ya hukumu,kitu ambacho ni kawaida kabisa,tatu anasema anashangaa kwa kamati kuamua fei arudi yanga kwani yeye hana mapenzi na yanga,fei ni mchezaji wa yanga na kama hana tena mapenzi na yanga afuate utaratibu kuuvunja mkataba na hivyo ndio wakili wake anapashwa kumuelekeza sio kumpotosha